Saturday, August 22, 2009
Hammer Q arudi kundini
Mtangazaji afananishwa na Amina Chifupa
Mtunzi na mwimbaji wa nyimbo za mahadhi ya taarab, Hammer Q amesema leo kuwa, watu katika maeneo mbalimbali ndani na nje ya Tanzania wanamfananisha kipaji na Mariam na kile cha Amina.
Amesema, amekwenda sehemu mbalimbali Tanzania hususani kanda ya ziwa, na nchi jirani, wakazi wa huko ‘wanamkubali’ Mariam na kumfananisha na Chifupa.
Amina alikuwa mtangazaji na baadaye akawa Mbunge wa Viti Maalum katika Bunge la Tanzania hadi alipoaga dunia.
Mariam a.k.a mama wa Kashda, a.k.a Mama Originali ameshukuru kufananishwa na Amina na kuahidi kuendelea ‘kukamua’ kisawa sawa.
Ameyasema hayo leo asubuhi jijini Dar es Salaam wakati anazungumza na Hammer Q katia kipindi cha Muziki wa Mwambao kinachorushwa na kituo cha televisheni cha TBC1 cha Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).
Migomba ametamba kwamba ana vipande vya maneno sivipande vya mihogo, na ana vipande vya maneno na si vipande vya kashata.
Friday, August 21, 2009
Uroda juu ya meza ya bwana
Tolu Akintepe, 30, na mke wake Bunmi, 28, walipandishwa kizimbani baada ya kukamatwa wakifanya mapenzi juu ya madhabahu au maarufu kama 'Meza ya bwana' (meza inayokuwa mbele kabisa kanisani).
Kwa mujibu wa gazeti la Daily Metro, wanandoa hao wakati wakipeana raha juu ya meza ya bwana walifumaniwa na mchungaji wa kanisa hilo dogo la Pentekoste lililopo katika kitongoji cha Ikeja jijini Lagos.
Mchungaji Gbenga Akhiomu aliwataka wanandoa hao walipe fidia ya dola 170 ( takribani Tsh. 225,000) kwa kuivunjia heshima madhabahu.
Katika hali iliyowaacha watu wengi mahakamani wakibaki na kicheko, wanandoa hao walimwambia jaji Ifeanyinwa Okenwa kwamba walifanya kitendo hicho ili kuongeza viungo vya kuamsha mapenzi yao ambayo yalikuwa yameanza kufifia baada ya ndoa yao ya miaka minne.
"Mke wangu amekuwa akiniambia mara kwa mara kwamba anataka tuyakuze mapenzi yetu kwa kufanya kitu kisicho cha kawaida" alisema Akintepe.
"Nilifikiria kuwa litakuwa wazo zuri kama tutafanya mapenzi kanisani huku Mungu akituangalia. Nilijua ni wazo linalohitaji ujasiri. Nilimwambia mke wangu naye akalipenda sana".
Jaji Okenwa aliwaonya wanandoa hao waheshimu taasisi za dini na aliwaamuru walipe faini ya dola 170.
Ni mwanaume au mwanamke?
Mmoja waliowahi kuwa walimu wake wakuu, Eric Mobida amesema, aligundua kuwa Semenya ni mwanamke wakati 'msichana' huyo alipokuwa na umri wa miaka 15!
Kwa mujibu wa Mobida, Semenya alikuwa mtundu, alipenda kucheza na wavulana na alipenda pia kucheza soka.
The governing body of world athletics, the IAAF, has asked South Africa to test their star 18-year-old's gender after her muscular physique and extraordinary performances sparked speculation over whether she is really female.
But her proud mother Dorcus Semenya declared: 'I know who and what my child is. Caster is all girl, and no one can change that.'
Speaking from her home in the rural village of Seshego in South Africa's Limpopo province, the mother-of-six added:
'She was always rough and played with the boys,' he said. 'She liked soccer and she wore pants to school, never a dress. It was only in grade 11 that I realised she's a girl.'
Caster's grandmother, Maphuthi Sekgala, said the athlete had been teased about her masculine appearance since the day she joined the village soccer team as the only girl.
Mrs Sekgala, 80, said: 'I know she's a woman. I raised her myself.'
Caster's father pleaded for people to leave his daughter alone. Jacob Semenya said:
He said he was positive the results of the IAAF gender tests would show she was a true female running hero.
Semenya's sister Nkele, 16, also defended her legitimacy as a female and said: 'People must stop calling her a man because we are proud of her.'
'We condemn the motives of those who have made it their business to question her gender due to her physique and running style.
Thursday, August 20, 2009
Oprah anatafuta penzi jipya?
Jay-Z is my new best friend. He was so charming and delightful -- and he smelled so good.
It's the kind of thing where you hug a guy and the scent is sort of buried in them. When we went to the second location I could still smell him on me.
It was like, 'Oh my, this is wonderful!' Oprah and Stedmann last fall.
Oprah is reportedly on the lookout for a new man after splitting from her long-term partner Stedman Graham.
According to the National Enquirer, Stedman told the media mogul he was "tired of being disrespected"
before moving out of their lavish 5,000 square foot Chicago apartment after Oprah went on a two-week luxury cruise with close friend Gayle King, leaving him home alone.
Oprah and Stedman had been dating since 1986. They had planned to marry in 1992, but the proposed nuptials never took place.
Wanafunzi ruksa kutumia past papers
Hivi karibuni, baraza hilo lilisema litamchukulia hatua kali za kisheria mtu yeyote atakayebainika kuchapisha au kuuza karatasi hizo bila idhini yake.
“Baraza linapenda kuufahamisha umma kwamba karatasi hizo zinaweza kutumiwa na walimu au wanafunzi kwa matumizi ya ki-elimu na si biashara,” Necta imesema katika tangazo alilotoa Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Dk Joyce Ndalichako.
Mwanamke asimulia raha ya kuwa nyumba ndogo
The fact he already has a mate adds to his ‘desirability’ factor.
Alice Waddington did not blink an eye when she discovered Mark was already married with two young children - she found him even more attractive - just as she had with the three married men she'd had
affairs with previously.
Here Alice, 39, confesses all...
Just before joining the Army, I had had my first serious relationship - but unbeknown to me, he was engaged to another girl all the time we were dating.
parents' house to sell them insurance.
We had what I thought was a normal relationship until I went off to join the Army and a friend sent me a picture of his wedding from the local newspaper.
When I left, he'd told me he was going on holiday: he was actually going on his honeymoon.
To say I was devastated would be an understatement.
So when Tom started hanging around my office, flirting with me while I took phone calls and typed up letters, I felt a secret thrill.
He lived with his wife in the barracks, but it was the easiest thing in the world to sneak off together to have a drink, or go back to my room.
We'd pass each other on the parade ground and make eye contact. It was so exciting knowing that we had our 'secret'.
But then, after a few months of our illicit encounters, he broke it off. He said he couldn't do this to his wife. I was mortified.
A year later, I was in the Women's Royal Army Corps and was sent on a training course.
Almost on the first day, I spotted my next married man among all the other soldiers.
He had lovely eyes, was tall and well-built, with short dark hair. He marched past me, and our eyes met.
A frisson ran through me again. I later found out he was 23 and married with a one-year-old child.
Men my age who are unattached, I felt, would let me down and hurt me, and I couldn't trust them.
I know this is a perverted kind of logic, but I felt safer with a married man.
The new survey, reported last week in the Journal of Experimental Social Psychology, said single women in the study were significantly more interested in the man when he was attached.
This may be because an attached man has demonstrated his ability to commit and in some ways his qualities have already been ' prescreened' by another woman.
That was definitely true of me.I also loved the sense of achievement when a married man fell for me.
I think it was also a form of attention-seeking.
I never thought about the wife's feelings - I just blanked her out. I thought it was her fault that her man was straying.
Wednesday, August 19, 2009
Sikupendi kivipi?
"Hivi unaongea kitu gani na wewe, kwa nini unasema hivyo hivyo?"
Mume naye alimjibu mke wake kwa kushangaa kwa nini mke wake anasema hampendi!
"Ni kweli hunipendi na siku zinavyozidi naona hunipendi zaidi" mwanamke aliendelea kulalamika.
“Anajua nampenda, kila jioni nawahi nyumbani kuwa naye, nampa pesa anazohitaji anunulie kitu chochote anataka, nimemjengea nyumba nzuri, nimemununulia gari zuri, Pia nimekubali kuja naye kwako mshauri, je unadhani hadi hapo simpendi?
Mshauri akakaza uzi bado kwamba acha hayo yote je, huwa unamwambia “Nakupenda" mke wako?”
Mume akajibu akasema “hivi kuna ulazima gani kumwambia nampenda wakati vitu ninavyofanya kwa ajili yake vinaonesha nampenda?"
Hapa wanaume wengi tunaweza kuandamana kumtetea mwanaume mwenzetu kwamba huyu mwanamke ana lake na kweli hana shukuruni.
mwanamke pamoja na mazagazaga yote mwanaume mwenzetu amejitahidi kumpa bado anaonekana hampendi.
Pia inaonekana ni jambo la kawaida sana, mwanzo wa kupendana watu huambiana maneno mengi matamu lakini wanavyoendelea na mahusiano huanza kujisahau.
Kuna maneno zaidi ya 16 ambayo wanandoa ni muhimu sana kuyatamka kila mmoja kwa mwenzake ili kuleta affections na msisimko wa kujisikia unapendwa hasa wanawake.
Tuesday, August 18, 2009
Bilionea Chelsea amsubiri mtoto wa Sita
Abramovich alizaa watoto watano na aliyekuwa mkewe, Irina, wameachana.
But he may well be on his way to raising his very own football team as Chelsea Football Club owner Roman Abramovich is set to become a father for the SIXTH time.
The 42-year-old's stunning Russian girlfriend, fashion designer and socialite Daria Zhukova, is said to be six months pregnant with their first child.
A source said he and Daria - better known as Dasha - 28, are 'ecstatic and excited' at the prospect of becoming parents.
Abramovich and Dasha, who have been dating for three years, discovered she was pregnant following a holiday in the Caribbean.
Ecstatic: Russian billionaire Roman Abramovich and his girlfriend Dasha Zhukova are expecting their first child together, and his sixth
A source told The Daily Mirror:
As yet, the couple do not know the sex of the baby, which, friends say, will be born in Moscow and will be brought up a Chelsea fan.
The source said: 'They are both ecstatic and excited and can't wait to raise a child together.
'Dasha is so petite it's impossible to notice she has a baby bump, even though she is six months gone.'
Roman met the daughter of Russian oligarch Alexander Zhukova at a New Year's Eve party hosted by her father in 2006.
Yasemavyo magazeti kuhusu Zombe
Watuhumiwa wote kumi wa mauaji waachiwa huru
Jaji masati asema ushahidi dhidi yao ulikuwa hafifu
Awataka polisi watafute waliowaua wafanyabiashara
Jaji Massati awaachia washitakiwa wengine wote wanane
Asema Serikali imeshindwa kuthibitisha kesi dhidi yao
Aagiza polisi kuwasaka waliofanya mauaji hayo
Wananchi washangaa, wadai haki haijatendeka
Washitakiwa wote waachiwa huru
Jaji Massati aisoma kwa saa tano
Aagiza wauaji watafutwe washitakiwe
Mawakili wa jamuhuri wasema watakata rufaa
Uhuru = Zombe huru
Jaji:Upande wa mashitaka umefeli
Asema wauaji hawajafikishwa mbele yake
Umati wapigwa na butwaa
Majira = Zombe huru
Polisi wenzake nao waachiwa, wananchi wapigwa butwaa
Waja juu wadai kukosa imani na uamuzi wa Mahakama
Jaji asema walioua hawajakamatwa, aagiza wasakwe
Mwananchi= Zombe huru
Ndugu wa marehemu wangua kilio kortini
Evidence doesn’t link the them with crime
Killer’s absence from trial a factor
Much of testimony based on hearsay
Presence at scene of crime no proof
Monday, August 17, 2009
Bolt avunja rekodi yake

MWANARIADHA raia wa Jamaica, Usain Bolt amevunja rekodi yake ya mbio za mita 100 aliyoiweka Beijing, China wakati wa michuano ya Olympic.
The King of the Sprints is undisputed. Usain Bolt ended the pretensions of mere mortals to his throne last night when he reduced his own world 100 metres record to rubble.
All those who wondered after last year’s sensational sprint at the Olympics how fast the Jamaican would go if he ever ran the length of a straight flat out have their answer — 9.58 seconds.
One year to the day since he awed the world in the Bird’s Nest Stadium in Beijing with a time of 9.69sec came the greatest improvement since record-keeping began 96 years ago.
Unbelievable: Bolt bettered his performance at Beijing a year ago with a run of jaw-dropping brilliance.
Not since Bob Beamon smashed the world long jump record at the Mexico Olympics of 1968 has a single performance so completely changed perceptions of human capabilities.
‘Today was perfect. This gave me a lot of energy, especially the crowd,’ said Bolt through the stadium microphone immediately after the race.
‘I won’t forget it. I got a pretty good start. I was there at 20 metres and that was it.’
Zombe na wenzake waachiwa huru
Breaking News
Tumia blog ya maisha unufaike
Ukifungua blog hii utapata taarifa kuhusu masuala tofauti zikiwemo habari zenye mvuto za Tanzania zikiwemo taarifa kuhusu watu maarufu nchini, Afrika na maeneo mengine.
Ni blog yako kwa kuwa inagusa makundi yote kwenye jamii na inazingatia maadili ya taaluma ya uandishi wa habari.
Inasimulia habari kistaarabu na hutajilaumu kutumia sehemu ya muda wako kufungua www.simulizi.blogspot.com
Kila siku mamia ya watu ndani na nje ya Tanzania wanapata habari, wanaburudika na kuelimika kupitia blog ya MAISHA.
Unaweza pia kuwakumbusha wenzako maisha yako ya siku zilizopita kwa kutuma picha zako ulizopiga shuleni, nyumbani, ofisini, na hata ulipokuwa mdogo.
Tafadhali tuma na maelezo yanayozihusu picha hizo ili iwe rahisi kuwafahamu wanaoonekana hapo ni akina nani, walikuwa wapi, wanafanya nini na lini.
Unaweza kupata rafiki kupitia blog hii, sema wewe ni nani, upo wapi, taja umri wako, jinsia yako, shughuli unayofanya, sema hobbies zako, elimu yako(si lazima) eleza unahitaji rafiki wa aina gani, awe na umri gani na ueleze pia mnaweza kuwasiliana vipi, mfano kwa njia ya simu, barua au barua pepe.
Unaweza pia kuitumia blog ya MAISHA kumpata mtu ambaye hamjaonana kwa muda mrefu. Kwa mfano mtu mliyesoma pamoja shule ya msingi, sekondari au chuoni, mtu ambaye mliwahi kuishi pamoja miaka ya nyuma lakini hamjaonana kwa muda mrefu, au mtu ambaye mliwahi kufanya kazi pamoja sehemu fulani lakini kwa muda mrefu hamjawasiliana au kukutana.
Si hivyo tu ,kama unahitaji wateja wa bidhaa yote, na endapo pia unahitaji bidhaa yoyote itumie blog hii ili utimize lengo lako.
Wakati wowote wasiliana nami kwa anuani ya barua pepe bmsongo@hotmail.com, www.simulizi.blogspot.com,au kwa namba za simu 0713-761 006, +255 22 2110595, 2127491/3
Zombe kuhukumiwa leo
Sunday, August 16, 2009
Wenger:Fabregas hauzwi, Arsenal haijafulia
KOCHA wa Timu ya Arsenal ya Uingereza, Arsene Wenger amesema, 'injini' yake, Cesc Fabregas HAUZWI.
Wenger amesema,kama Barcelona wanamtaka Fabregas, yeye atamchukua Lionel Messi.
Kocha huyo mfaransa amesema Arsenal HAIJAFULIA hivyo hauzi mchezaji yeyote.
Amesema anafahamu kwamba Arsenal haipewi nafasi ya kuchukua ubingwa au kuwa katika NNE bora katika msimu wa ligi Kuu Uingereza.
Kocha huyo amesema, msimu huu utakuwa mgumu kuliko yote tangu aanze kuifundisha Arsenal miaka 13 iliyopita.
Arsenal jana iliwanyuka Everton mabao SITA kwa moja.
ARSENE WENGER reckons he has as much chance of signing Barcelona superstar Lionel Messi as the Catalan giants have of getting Cesc Fabregas.
Wenger said: "I have made a bid for Messi and nobody speaks about it.
"They said he's £125m. It's the same.
"There is no chance we will sell Cesc.
"Do you really think we would sell our players one day before the championship starts, the basis of our team? No chance."
When Wenger was told that Fabregas has Barcelona blood in him, the Gunners manager replied:
has.
"Cesc is committed to the club. He has told me that and told that to the Press.
"We cannot master the noises coming out of Spain. It is not him who encourages the idea. We are not in a weak financial position, we don't need to sell anybody.
"He has always been very committed, this is his sixth year and what he wants is to win trophies for this club."
He said: "Maybe some of the fans on our side have the fear we will drop out of the top four. But that is guided by fear, not an objective assessment of our performances.
"Certainly it could be the most competitive race since I've been here. But at the start we race for the top one.
"At the moment, nobody looks at us as a potential fighter for the title. That should not add too much pressure on our shoulders but it can.
Friday, August 14, 2009
Breaking News
Waliochezesha upatu DECI waachiwa
Washitakiwa wengine katika kesi hiyo,Jackson Mtaresi, Dominic Kigendi na Timothy Ole Loiting’inye juzi walitimiza masharti ya dhamana wakaachiwa hivyo washitakiwa wote katika kesi hiyo wameachiwa kwa dhamana.
Samwel Mtaresi na Arbogast Kipilimba juzi walirudishwa rumande kwa kushindwa kutimiza masharti ya dhamana.
Washitakiwa hao jana walitimiza masharti hayo ikiwa ni pamoja na kuwa na wadhamini wawili watakaosaini hati ya dhamana ya Sh milioni 10 kila mmoja.
Mmoja kati ya wadhamini lazima awe mkazi wa Dar es salaam na anatakiwa aipe mahakama hati zake za kusafiria.
Mahakama imewaachia kwa kuwa Mkurugenzi wa mashitaka (DPP) ametengua hati yake ya zuio la dhamana kuhusu washitakiwa hao.
Mahakama imewataka viongozi hao wa DECI wasifanye mkutano wowote unaohusiana na taasisi hiyo mpaka kesi itakapokwisha.
Brian na marafiki
Brian a.k.a Imeda ni mwanangu.
Arsene Wenger asema ya moyoni
Wenger amesema amekataa kujiunga na Real Madrid kwa sababu angefanya hivyo ANGEISALITI Arsenal.
Kwa mujibu wa kocha huyo, miaka minne iliyopita alianzisha mradi wa kuiimarisha Arsenal, anataka aone matunda ya kazi yake.
Wenger anaamini kwamba, kwa kazi aliyoifanya atashinda taji akiwa na Arsenal.
‘I felt if I left I would have in some way betrayed my beliefs,’ Wenger told Sportsmail as he launched Arsenal’s Great Ormond Street charity appeal.
‘It was that simple. It was nothing to do with Real Madrid, it was about Arsenal.
‘I knew what Madrid were about to do, but I have a project here that I started four years ago and I wanted to reach the end of it.
The team we have now gets there, and by that I mean it wins the championship.
At 22 or 23 I think a team is mature enough to deliver and it is a massively important year for our club. I am conscious of that.
I know people have no patience any more, but I agreed on a structure at the club that I believed could work, and we are at the period now when we will see whether I was right.
‘To talk of winning the league is an audacious statement but I built this team and I want to deliver with this team.
‘So far, we have flirted with success. We were never in the race for the championship last year, but before that, and certainly in 2006, when we were in the Champions League final, it happened.
‘The team looks to be growing and gelling and being close, but at the moment they do not get credit for what they produce and, like every team who have not won a trophy,they still doubt whether they can win.
‘Other clubs have more money but that is not difficult for me.
At Arsenal, we try to go a different way that, for me, is respectable. When you look to buy all the time it becomes a trap.
Glory days: Wenger's Arsenal became the first team since Preston North End's 'Old Invincibles' to remain unbeatable in the top flight
Gilberto Silva and Vieira worked, Fabregas and Silva worked, but I could not play Fabregas and Vieira.
But Fabregas was 19 and if he did not play I knew he would want to go, so we risked destroying everything, all the work we had put into this player. That is why I sold Vieira.
‘Now we have that situation with Jack Wilshere.
He is 17 and we cannot ask him to play every game to win the championship.
But next year he will be ready, he will want to play all the time and if we have bought a player in his position he will want to go.
Prize assets: Wenger has nurtured Fabregas' many talents and the 59-year-old looks to do the same with Wilshere ‘I believe in work, in connections between the players.
You can win in different ways, by being more of a team, or by having better individual players, but I think what is more important is to look at what you have at your own club.
‘If I had gone to Real Madrid I would have spent, yes.
If you have the money and you find the one player who can make you win and make the difference, no matter how expensive he is, you should do it.
But there are not many players in the world who will make a real difference.
Wenger also defended selling two of his first-team players, Emmanuel Adebayor and Kolo Toure, to Manchester City, tipped as strong challengers to Arsenal this season.
‘My only question was whether we could afford to sell Adebayor,’ Wenger added.
‘You come to the conclusion, can you stop Manchester City creating a big team? I don’t believe so.
If we do not sell Adebayor they will buy Samuel Eto’o or somebody because they have the resources.
Thursday, August 13, 2009
Anaomba 'past papers' za chekechea
Beyonce anusurika Japan
The couple enjoyed a romantic dinner at Nello restaurant on the Upper East Side hours after she flew into the U.S. from Toyko.
Beyonce was in Japan with her sister on a fashion promotion at the Disneyland Hotel in Urayasu, Chiba province when nature let rip.
The chart-topper's younger sibling Solange described the moment on her Twitter page, saying, 'My sister said she was scared out of her mind and calling my mom and I was snoring. How did I sleep through a SERIOUS earthquake?'
The girls weren't the only ones to feel the earth move.
Singer and Dukes of Hazzard star Jessica Simpson was in Tokyo to film her new reality show 'The Price of Beauty' when the 6.6 quake hit.
‘Thought I was hallucinating,’ she wrote on Twitter. ‘I have never felt anything like this in my life.’
Happy homecoming: The singer is back in the U.S. after her earthquake scare in Japan days earlierThe 29-year-old was watching television in bed when the rumbling started.
The Japan Meteorological Agency said a strong earthquake with a preliminary magnitude of 6.9 had shaken the Japanese capital of Tokyo and surrounding areas.
There were no immediate reports of damage or casualties from the quake which rattled furniture and walls.
Wednesday, August 12, 2009
Wewe ungefanyaje?


'Their technique involves the largest baboons jumping up and down on the box, flexing it until the lock bursts open, then the rest of the baboons pile in to see what they can find,' Mr Ross said.
'Obviously, we're well used to them helping themselves to the odd wing mirror or wiper blade, but this has taken things to a whole new level.
'Let's face it, nobody wants to see a baboon running up a tree with their underwear.'
But Mr Ross said some visitors continued to ignore the warnings and paid a high price, with staff forced to re-enact the scenario for park guests so they could see the effect for themselves.
'Unfortunately though, we still get drivers who don't think it will happen to them and they decide to take a chance,' he said. 'That's why we recently staged a demonstration to show the reality of the risks drivers face.
'The baboons were into the luggage box on our car within minutes and absolute mayhem ensued.
'We will now be able to show photographs of this incident to visitors with cargo boxes who may be thinking of playing "Russian roulette" in the monkey jungle.'
There are currently more than 140 baboons at Knowsley Safari Park and visitor surveys consistently show them to be the attraction's most popular exhibit.
Watoto 'chapombe' watibiwa
Andrew Hall, chief executive of Alcohol Support, which runs Albyn House clinic in the city, said they had 38 under-16s registered, with dozens more on the waiting list.
And he believes the binge drinking epidemic facing Scotland's youth is only going to get worse.
Mr Hall said last night: "There is an increasing demand on our service from children aged nine and up - it's a growing problem.
"All the evidence shows that children are starting to drink earlier, they are drinking more and the results are getting worse - we now have kids dying of liver failure."
Tuesday, August 11, 2009
Mkenya anataka kumuoa mtoto wa Clinton

KATIKA hali isiyotarajiwa, raia wa Kenya,Godwin Kipkemoi Chepkurgor amemuandika barua Clinton na mkewe, Hillary akieleza nia ya kutaka kumuoa binti wao, Chelsea.
To laughter at a town hall meeting Thursday in Kenya, CNN's Fareed Zakaria asked the U.S. Secretary of State if the Clintons had made a decision on the dowry offer.
After a pause, Clinton said, "My daughter is her own person, very independent, so I will convey this very kind offer."
Clinton has denied rumors that her daughter, 29, is planning to get married this summer.


































