Binti Mbrazil, Catarina Migliorini (20) ameuza BIKIRa yake kwa Dola za Marekani 780,000.
Msichana huyo mwanafunzi ameuza bikira hiyo kupitia mnada ulifanywa kwa njia ya mtandao kupitia mradi ulioanzishwa mwaka 2009 wa kutengeneza filamu unaoitwa "Virgins Wanted".
Anapata kitita hicho kupitia mnada ulioshirikisha wauza bikira 15 wakiwemo wanaume, hivyo atasafiri kwenda Australia kutolewa bikira hiyo, na imeelezwa kuwa atakutanishwa na mwanaume muhusika kwenye ndege.
Binti huyo atahojiwa kabla na baada ya kutolewa bikira hiyo katika eneo ambalo halijatajwa.
Catarina anasema, ameona atumie fursa hiyo kufanya biashara na kutembea, na kwamba, yeye si malaya kwa kuwa anafanya ngono mara MOJA tu, na ni sawa na mtu asiye mpiga picha, akapewa kamera akapiga picha nzuri, kwamba, hiyo haimfanyi awe mpiga picha
Katika mnada huo, mwanaume Mjapan aliyetajwa kwa jina moja la Natsu, aliwashinda wenzake 14, amekubali kuuza BIKIRA yake kwa Dola 3,000 za Marekani.
Mwanaume mwingine, Alex Stepanov, ambaye ni mwanafunzi jijini Sydney, pia ameuza BIKIRA yake kwa Dola 3,000 za Marekani.
Mwanamke Mbrazil ameinunua bikira ya mwanaume huyo.
Soma hapo chini
A Brazilian student has sold her virginity in an online auction for US$780,000 as part of a documentary organised by an Australian filmmaker, although a man who did the same only fetched US$3,000.

Catarina Migliorini, 20, was the subject of 15
bids, with a Japanese man named only as Natsu winning on Wednesday
night, according to the website of the film "Virgins Wanted".
He beat out competition from 14 other men, mostly from Brazil but also from India, Australia and the United States.
A male whose virginity was also auctioned,
21-year-old Sydney student Alex Stepanov, fetched US$3,000, paid by a
Brazilian woman.
Australian media said Migliorini would be
"delivered" to her buyer on board a plane to Australia and that she
would be interviewed before and after losing her virginity at a secret
location.
Filmmaker Jason Sisely, who began his project in 2009 and caused outrage when he put posters up in Sydney and Melbourne saying "Virgins Wanted", said Migliorini was ecstatic and had not expected as much such interest.
"The auction closed last night and Catarina is
extremely excited. She was speaking to her family in Brazil online and
they were extremely happy for her," he told Australian online news site
Ninemsn.
"But I guess they didn't expect her to do something like this."
He said the act would be consummated, but not filmed, in the next few weeks.
"We will fly over the winner to Australia and
obviously, for the sake of the film and privacy, we can't disclose where
and when the act will take place," he said.
"I have to leave some details for the documentary."
"I have to leave some details for the documentary."
On a "Virgins Wanted" trailer on YouTube,
Migliorini said:
"I haven't found the right person to do it with, I've been too busy with other stuff."
"I haven't found the right person to do it with, I've been too busy with other stuff."
She added: "It's more sane than doing it drunk at a party with a stranger."
According to Britain's Daily Mail, Migliorini's
decision to sell her virginity to the highest bidder has sparked outrage
across the globe, with some claiming she was little more than a
prostitute.
But she defended the move.
"I saw this as a business. I have the opportunity
to travel, to be part of a movie and get a bonus with it," she was
quoted by the Mail as saying.
"If you only do it once in your life then you are
not a prostitute, just like if you take one amazing photograph it does
not automatically make you a photographer."
She will reportedly use part of the cash to build homes for poverty-stricken families.
No comments:
Post a Comment