Friday, May 22, 2015

Rais Pierre Nkurunziza

Burundi leader playing football
Burundi's President Pierre Nkurunziza has been photographed playing football as protests continue over his bid to run for a third term in office.

Mr Nkurunziza was playing in his daily kickabout with friends in the capital, Bujumbura.

In the latest unrest, a protester was shot dead in Bujumbura.

Last week, there was a failed coup against Mr Nkurunziza. Senior officials from both the army and police have been accused of involvement.

Pierre Nkurunziza playing footballPierre Nkurunziza playing footballBurundi leader playing footballBurundi leader playing footballPierre Nkurunziza playing footballBBC

Tuesday, May 19, 2015

Jeff Koinange mbaroni, kushitakiwa

 
Talk show host Jeff Koinange appeared before a Nairobi court after he was arrested earlier to face contempt-of-court charges.
Mr Koinange had driven himself on Tuesday morning to Milimani Law Courts with uniformed police officers inside his car and was taken to the prosecution’s office for processing.
A warrant of arrest had been issued against him and businessmen Tony Gachoka for disobeying a court order.
The two are accused of discussing businessman Jimi Wanjigi, Sani Mbui Wanjigi and Kwacha Group of Companies Ltd during Mr Koinange’s Jeff Koinange Live show despite an order barring the discussion.
On Monday, Mr Koinange and Mr Gachoka failed in an attempt to stop their arrests.
In their applications to lift the warrants filed through lawyer Gitobu Imanyara, they argued that the magistrate treated them unfairly and refused to listen to explanations why they failed to attend court.

 www.nation.co.k

Buriani mwanangu Maurus a.k.a Braison

Displaying IMG_20150506_124411.jpg
Namshukuru Mungu kwa kunipa zawadi ya mtoto na sasa ameamua kumrudisha kwake.

Pumzika Maurus, buriani dogo Braison.
Displaying IMG_20150426_132114.jpgDisplaying IMG_20150317_143601.jpgDisplaying IMG_20150428_134654.jpg

Friday, May 1, 2015

JK- Ningekuwa msanii wa Bongo flava

Dakika chache zilizopita, Rais Jakaya Kikwete amewaeleza wananchi kuwa, kama asingekuwa Rais, angekuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya maarufu kwa jina la Bongo flava.

Rais ameyasema hayo katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza katika sherehe za siku ya wafanyakazi duniani, Mei Mosi.

Kabla ya kutoa kauli hiyo, Rais Kikwete ameimba wimbo wa Mimi msafiri bado nipo njiani, sijui lini nitafika, naulizia watu kule ninapokwenda, naambiwa bado ni mbali

Diamond- Nilianza kumtongoza Zari kwenye ndege


zarMsanii wa muziki wa kizazi kipya anayedaiwa kuwa na mafanikio zaidi kibiashara hivi sasa, Nassib Abdul a.k.a Diamond, na mpenzi wake, Zarina Hassan a.k.a Zari the Boss leo wametoa ya moyoni kwa kueleza namna wanavyopendana na walivyokutana.

Diamond amesema, alikutana na Zari kwenye ndege wakati wanatoka Afrika Kusini, akarusha ndoano na hadi sasa ni wapenzi.

Kwa mujibu wa Zari, ilichukua muda kukubali kuwa mpenzi wa msanii huyo, lakini hatimaye akasema YES.

Zari ni mjamzito na ana watoto watatu wenye umri wa miaka 11, 10 na minane.

Mfanyabiashara huyo amesema, wanawe wanaishi Afrika Kusini na wanafahamu kuwa yupo na Diamond.

Diamond anasema, Zari kuwa na watoto watatu si tatizo kwake.