Tuesday, August 18, 2009

Yasemavyo magazeti kuhusu Zombe

The Guardian = So, who killed them?

Mtanzania = MUUJIZA KESI YA ZOMBE

Watuhumiwa wote kumi wa mauaji waachiwa huru

Jaji masati asema ushahidi dhidi yao ulikuwa hafifu

Awataka polisi watafute waliowaua wafanyabiashara

Tanzania Daima = Zombe ashinda kesi

Jaji Massati awaachia washitakiwa wengine wote wanane

Asema Serikali imeshindwa kuthibitisha kesi dhidi yao

Aagiza polisi kuwasaka waliofanya mauaji hayo

Wananchi washangaa, wadai haki haijatendeka

Nishape = Hukumu ya Zombe yaduwaza

Washitakiwa wote waachiwa huru

Jaji Massati aisoma kwa saa tano

Aagiza wauaji watafutwe washitakiwe

Mawakili wa jamuhuri wasema watakata rufaa

Uhuru = Zombe huru

Jaji:Upande wa mashitaka umefeli

Asema wauaji hawajafikishwa mbele yake

Umati wapigwa na butwaa

Majira = Zombe huru

Polisi wenzake nao waachiwa, wananchi wapigwa butwaa

Waja juu wadai kukosa imani na uamuzi wa Mahakama

Jaji asema walioua hawajakamatwa, aagiza wasakwe

Mwananchi= Zombe huru

Ndugu wa marehemu wangua kilio kortini

The Citizen =Why they were set free

Evidence doesn’t link the them with crime

Killer’s absence from trial a factor

Much of testimony based on hearsay

Presence at scene of crime no proof

No comments:

Post a Comment