KUNA mdau kanitumia ujumbe huu, anaomba msaada, anayeweza kumsaidia anaweza kumpata kwa kutumia anuani yangu ya barua pepe. bmsongo@hotmail.com
"Ndugu yangu nina shida kweli naomba unisaidie. Nina mwanangu ananisumbua kweli! una notes au past papers za chekechea? Niazime ndugu yangu.
Tafadhali msaidieni mwenzetu.
hapo ndipo shida inapoanzia!! elimu ya kukariri majibu haina maana katika maisha. Past papers past papers kila siku, sasa mmeanza hata za chekechea? kazi ipo. mwambie anatakiwa kujenga msingi wa maana katika elimu ya mtoto sio kusoma maswali na majibu.
ReplyDelete