Monday, September 5, 2011

Pichaz za ndoa, harusi ya Joyce Kiria

Bibi harusi, Joyce Kiria akiwa amepozi jana baada ya kufunga ndoa na Henry Kileo jijini Dar es Salaam.
Joyce Kiria anapokea cheti cha ndoa.

Maharusi


Kwa mara nyingine, Joyce Kiria akivishwa pete ya ndoa.Desemba mwaka 2008, mtangazaji huyo wa televisheni alifunga ndoa na DJ Nelly katika Kanisa na KKKT, Kijitonyama jijini Dar es Salaam.Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akimpongeza Joyce Kiria kuolewa na pia kupata mtoto, Lincon Kileo mwenye umri wa miezi miwili.

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (kulia), nae alikuwepo.

Mbunge wa Ubungo, John Mnyika akiwa na bibi harusi na mdau wakati wa sherehe za harusi ya Joyce Kiria na Henry Kileo.


Picha zote kwa hisani ya blog ya Michuzijr

2 comments:

  1. Hivi hao Chadema walikosa nguo za kuvaa au ndo mwalimu wao kipofu walidhani wanaenda kwenye kampeni?
    Tuache siasa kwenye masuala ya kijamii...!! Inakera, harusini unaenda na Kombati?
    Hii mupya.!

    ReplyDelete
  2. inaonekana joyce ana nyota ya kuolewa aangalie asiolewe tena ya 3

    ReplyDelete