
Tuesday, September 29, 2009
Monday, September 28, 2009
Mwanaume aoa WANNE kwa mpigo
Mbhele na wake zake siku ya harusi yao Jumamosi iliyopita nchini Afrika kusini.
MWANAUME nchini Afrika Kusini amefunga ndoa na wanawake WANNE kwa mpigo.
Milton Mbhele anasema amefunga pingu za maisha na wanawake hao ili kupunguza gharama za harusi nne tofauti.
Mbhele tayari alikuwa na mke, Vilakazi, na ana watoto 11.
Wake wa Mbhele hawataishi kwenye nyumba moja, kila mmoja ataishi kivyake hivyo jamaa atakuwa anawahudumia kwa mzunguko.
Sheria za Afrika Kusini zinaruhusu wanaume waoe zaidi ya mwanamke mmoja lakini si jambo la kawaida kwa mwanaume kuoa zaidi ya mwanamke mmoja kwa wakati mmoja.
Soma hapo chini.
Milton Mbhele turned up in a white limousine and gave each of his four brides rings and a kiss.
South African law recognises traditional polygamous marriages.
Even President Jacob Zuma has three wives.
Yet, while polygamy remains common among several tribes including the Zulus, simutaneous weddings are rare.
44-year-old Mbhele said the joint celebration would save money by combining the festivities.
He has already been married to Thobile Vilakazi for 12 years and has 11 children, but did not specify who their mothers are.
"I want her to be happy," he said of Ms Vilakazi, who was given a golden wristwatch at Saturday's ceremony.
"I think getting married to her for the second time would make her happy since I will be taking in three other wives so this will relieve her in some way."
His "middle wives" - as he described them - are Zanele Langa and Happiness Mdlolo, both 24.
The youngest wife, 23-year-old Smangele Cele, said she was looking forward to marrying Mr Mbhele, even though it means she'll have to share him.
She said the wives planned to live separately, with their husband rotating between them.
"It is because of the way in which he shows his love for me.
He loves me in all ways," she said, adding: "We will not be living in the same house and we take each other as friends."
Saturday, September 26, 2009
Liyumba ajibu mapigo
ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala Benki Kuu Tanzania,Amatus Liyumba, jana alidai mahakamani kuwa,Bodi ya benki hiyo iliridhia malipo kwa ajili ya mabadiliko ya ujenzi wa majengo pacha ya taasisi hiyo
ya Serikali.
Liyumba ameshitakiwa akidaiwa kutumia vibaya madaraka na kuisabababishia Serikali hasara ya zaidi ya bilioni 200 kupitia ujenzi wa majengo hayo jijini Dar es Salaam.
Liyumba leo ameonyesha kushangaa kuelezwa kuwa alifanya mabadiliko ya ujenzi wa majengo hayo bila kupata ruhusa ya bodi ya BoT.
Mshitakuwa huyo amehoji,kama Bodi ya BOT haikutoa ruhusa hiyo fedha zote hizo zilitoka wapi.
“It’s a useless board basi!” amesema Liyumba kwa mshangao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi,Kisutu, Dar es Salaam.
Mwendesha mashitaka,Justus mlokozi jana alisoma maelezo ya awali ya kesi hiyo sanjari na kusoma mashitaka mapya yanayomkabili Liyumba.
Baada ya Mlokozi kusoma mashitaka,Liyumba alitakiwa aieleze mahakama anayakubali au anayakataa mashitaka hayo.
Alikiri kuwa alikuwa na wadhifa huo, na aliyakubali majina majina yake.
Mwendesha mashitaka aliieleza mahakama kuwa,Liyumba alidaiwa kuwa aliajiriwa na Benki Kuu ya Tanzania mwaka 1973 na alikuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa benki hiyo tangu mwaka 1979 hadi mwaka 2008
alipostaafu.
Friday, September 25, 2009
Bomu laua watoto wawili Mbagala
BOMU lililolipuka Mbagala Kizuiani, Dar es Salaam jana asubuhi, limeua watoto wawili wenye umri wa miaka sita.
Mlipuko huo ulijeruhi watoto watatu, mmojawao, Stella Chawala, hali yake ni mbaya, amelazwa katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili, Dar es Salaam.
Watoto waliopoteza maisha ni Regina Chawala na Rajab Saidi,wengine waliojeruhiwa ni Asha Selemani, na Sada Selemani.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, William Lukuvi, na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, wamethibitisha kutokea kwa mlipuko huo.
Taaarifa ziliopatikana katika eneo la tukio zimedai kuwa, bomu hilo lililipuka saa 1.30 asubuhi wakati watoto hao wakicheza jirani na sehemu ulipotokea mlipuko.
Thursday, September 24, 2009
Breaking News
MABOMU yamelipuka Mbagala muda mfupi uliopita.
Kuna taarifa zinazodai kuwa watu wawili wamekufa, wengine kadhaa wamejeruhiwa.
Taarifa zaidi baadae.
Tuesday, September 22, 2009
Kifo cha First Lady champonza daktari
Rais Mstaafu wa Nigeria, Olusegun Obasanjo na mke wake, Stella.
DAKTARI raia wa Hispania amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela na kulipa faini ya dola za Marekani 176,000 kwa kubainika kuwa uzembe wake ulisababisha kifo cha mke wa Rais Mstaafu wa Nigeria, Olusegun Obasanjo, Stella.
Mahakama nchini Hispania pia imemuamuru daktari huyo asifanye kazi za kitabibu kwa miaka mitatu.
Soma hapo chini
A Spanish doctor has been sentenced to a year in prison, for his role in the death of the former first-lady of Nigeria, Stella Obasanjo.
The wife of Olusegun Obasanjo had visited a clinic in Marbella in October 2005 to undergo cosmetic surgery.
She underwent liposuction to reduce the size of her abdomen, but left the operating theatre with fatal injuries.
The judges said the surgeon had shown carelessness and neglect.
Mrs Obasanjo, 59, came to Spain in October 2005, checking in at the Molding Clinic - a discreet and luxury facility, specialising in cosmetic surgery.
The court heard that a tube used for removing fat had been placed by mistake into the patient's abdominal cavity - puncturing her colon and lacerating her liver.
Mrs Obasanjo became seriously ill the following day.
But prosecutors said the surgeon initially failed to answer his mobile phone, and then waited more than four hours before driving the patient in his own car to an intensive care unit, where she died an hour later.
The doctor - identified in court documents only by the initials AM - was sentenced to a year's imprisonment for causing homicide through negligence.
He was disqualified from practising medicine for three years, and ordered to pay $176,000 (£108,000) in compensation to Mrs Obasanjo's son.
The court said simple blood tests or an ultrasound procedure would have detected the internal injuries - which, with more time, could have been treated.
Saturday, September 19, 2009
Friday, September 18, 2009
Thursday, September 17, 2009
Ni hatari kulala na mpenzi wako
WANASAYANSI nchini Uingereza wameonya kwamba kitendo cha wapenzi kulala kitanda kimoja ni cha hatari kwa afya zao na pia huweza kuhatarisha uhusiano wao.
Wanasayansi hao wamesema kuwa kitendo cha kulala kitanda kimoja humsababishia mtu kupata usingizi duni.
Kwa mujibu wa wanasayansi hao hali hiyo inaweza kusababisha magonjwa mbali mbali yanayotokana na ukosefu wa usingizi kama vile magonjwa ya moyo na msongo wa mawazo.
Wanasayansi hao wanasema, kwa wastani wapenzi wanapolala pamoja huwa na usingizi duni kwa asilimia 50 kwa sababu ya kuamshana amshana na hali hiyo huwa tofauti wakati wanapolala peke yao.
Watu kukoroma, kugonga gonga meno na kujigeuza geuza kitandani, kuamka usiku kwenda chooni ni miongoni mwa sababu zinazowanyima wapenzi usingizi bora.
Wanasayansi hao walisema kuwa wapenzi kulala kitanda kimoja huchukuliwa kitamaduni kuwa ni kuonyesha mapenzi na upendo wakati kitendo cha wapenzi kulala vitanda tofauti huonekana si jambo sahihi katika tamaduni.
Wakiongea katika tamasha la sayansi la Uingereza, wanasayansi hao waliwashauri watu wachukue hatua mapema kabla ya afya zao kutetereka au uhusiano kuvunjika.
Dr Neil Stanley, mtaalamu wa mambo ya usingizi toka hospitali ya chuo kikuu cha Norfolk and Norwich University ambaye hulala kitanda tofauti na mkewe alisema
" Usingizi ni kitu chenye uchoyo, hakuna mtu anayeweza kushea usingizi".
Akiongelea majaribio ya kisayansi waliyoyafanya kwa pea 40 za wapenzi Dr Stanley alisema
"Watu hujihisi wanapata usingizi bora wakilala pamoja lakini ushahidi wa kisayansi unaonyesha tofauti".
Kama haiwezekani kulala vitanda tofauti, Dr Stanley alitoa ushauri wa kununua kitanda kikubwa zaidi na kila mtu atumie shuka lake.
Wednesday, September 16, 2009
Mwanamke afanya ngono na wanaume 1,500 kuwatibu
MKAZI wa kitongoji cha Chelsea, jijini London,Mare Simone(54) amefanya ngono na wanaume 1,500 katika kipindi cha miaka 23 ili kuwatibu matatizo yanayohusiana na mapenzi.
Wateja ni miongoni mwa wanaume 10,000 waliokwenda ofisini kwake kupata tiba ya matatizo hayo.
Mjasiriamali huyo anatoa ushauri wa mambo ya kimapenzi kwa wanawake na wanaume na ametamba kuwa yeye ni mtaalamu wa masuala ya kitandani.
Baada ya kuachana na mumewe, Mare aliamua kuisomea rasmi taaluma hiyo ya mapenzi na kisha kufungua ofisi na hadi sasa ametoa somo la mapenzi kwa zaidi ya wateja 10,000 waliofika kwenye ofisi yake katika kipindi cha miaka 23.
Mare amebainisha kwamba, kati ya wateja hao,hadi sasa amefanya ngono na wanaume zaidi ya 1,500 wakiwemo waume au wapenzi wa wanawake wengine.
Amesema,hadhani kuwa anafanya kosa lolote kinyume cha sheria kutembea na waume za watu kwa sababu anaboresha maisha ya mapenzi ya watu wengine,anapata riziki yake kwa kutoa tiba hiyo, na kwamba, yeye si kahaba.
"Watu wananilipa kwa ushauri ninaowalipa na kwa kutibu matatizo yao hawanilipi kwasababu ya ngono".
"Najipatia kipato changu kwa kulala na waume au wapenzi wa wanawake wengine.
Lakini mimi sifanyi ukahaba kwa kuwa taaluma ya mapenzi inaruhusiwa kisheria na mapenzi yanafanyika katika mazingira ya tiba" alisema Mare.
"Nasaidia kuimarisha na kubadilisha maisha ya kimapenzi ya maelfu ya wanaume na hivyo nakuwa nimesaidia kuimarisha maisha ya kimapenzi ya wake zao au wapenzi wao"
"Wanawake wengine wanabeba mimba za wanawake wengine kwa sababu wanataka kuwasaidia wanawake wasio na uwezo wa kupata mimba.
Hali hiyo ni sawa na mimi kwani nawasaidia watu kuwa na maisha mazuri ya kimapenzi".
Mare anaifurahia kazi yake na huwa na furaha zaidi wateja wake wanapoondoka kurudi majumbani mwao wakiwa na matumaini mapya kwenye maisha yao ya kimapenzi.
Kwa siku anatoa vipindi vitano vya masuala ya mapenzi,wateja wake ni watu wa rika mbali mbali, jinsia zote, maumbile tofauti na wafanyakazi wa vitengo tofauti tofauti.
"Wanaume mara nyingi hunifuata kwa sababu ya matatizo ya kutosimama vyema kwa uume na kufika kileleni mapema kabla ya wapenzi wao wakati wengine huambiwa waje wanione na wake zao kwakuwa hawawaridhishi kitandani".
"Kabla hawajaniona huwa wote wanapimwa magonjwa ya zinaa na lazima watumie kondomu iwapo nitalala nao" alisema Mare.
"Kwa wanawake mara nyingi hunifuata wakiwa na matatizo ya kutofika kileleni au wanapoona wapenzi wao hawajui jinsi ya kuwaridhisha kitandani".
"Huwa nawafundisha jinsi ya kujipa raha wao wenyewe na kuipenda miili yao" amesema na kusisitiza kwamba hatarajii kuacha kutoa huduma hiyo katika miaka 10 ijayo.
Soma hapo chini
A Brit woman, who calls herself a “sex surrogate”, is said to have had sex with more than a thousand men, with most of them being somebody else’s husband or boyfriend.
Mare Simone, 54, from Chelsea, West London, has devoted her working life to helping men, women and couples overcome problems in the bedroom, and as a qualified sex therapist, she has given lessons to more than 10,000 clients over the past 23 years.
Simone estimates that she has had penetrative sex with 1,500 of them, and insists there is nothing illegal about what she does.
“I earn my living by sleeping with other women’s husbands or boyfriends.
But I am in no way a prostitute as sex surrogacy is legal, as long as it is done in a therapeutic and healing atmosphere,” the Sun quoted her as saying.
“People are paying for counselling and to cure their problems – not sex.
“I am helping improve and change the sex lives of thousands of men, which means I am also helping improve the sex lives of their wives and girlfriends.
“Some women become baby surrogates because they want to help women who can’t have children. In the same way, I feel drawn to helping others have an intimate sex life.
“My job is so fulfilling and enjoyable. Seeing my customers leave with a newfound sexual confidence is a wonderful sight.
“Since I started surrogacy work, I have seen more than 10,000 clients and estimate that I have had penetrative sex with around 1,500 men. I continue to see clients weekly.
“Witnessing the men and women I help make huge improvements and feel confident about their bodies is wonderful.
“In the 20 years I have been doing this job, I have never felt miserable about going to work. I love what I do and have no plans to retire within the next ten years.
“I am a sexual healer and so proud and happy that I found my dream job,” she added.
Ajuza anatafuta mume wa 23
Wook Kundor akiwa na mumewe wa sasa, Muhammad Noor Che Musa
Bibi mwenye umri wa miaka 107 wa nchini Malaysia ambaye alishaolewa na kuachika mara 21 amesema yuko tayari kuolewa na mwanaume mwingine kwa mara ya 23.
Ajuza huyo anahofu kwamba huenda mume wake wa 22 anaweza kumkimbia na kutafuta mwanamke mwingine mwenye umri mdogo.
Baada ya kuolewa na wanaume 21 na kuachika, bibi mwenye umri wa miaka 107 wa nchini Malaysia amesema kuwa anahofia kukimbiwa na mume wake wa 22 anayeishi naye hivi sasa ambaye miezi miwili iliyopita alikamatwa akitumia madawa ya kulevya.
Bibi Wook Kundor alipata umaarufu duniani baada ya kuolewa kwa mara ya 22 na mwanaume ambaye amemzidi jumla ya miaka 70.
Hivi sasa bibi Wook hana imani kabisa na mumewe Muhammad Noor Che Musa mwenye umri wa miaka 37 ambaye hivi sasa yuko kwenye kituo cha kurekebisha tabia akipatiwa matibabu ya kuacha utumiaji wa madawa ya kulevya.
Bibi Wook ameishaanza kusaka mume wa 23 kwa sababu anahofia Muhammad akishatoka kwenye kituo hicho na kuacha tabia yake ya kutumia dawa za kulevya anaweza kumkimbia na kutafuta mwanamke mwingine wa rika lake.
"Katika siku za hivi karibuni kuna hofu imeniingia" alisema bibi Wook huku akiwa ameshikilia picha yake.
"Najua kwamba mimi ni mwanamke niliyezeeka. Sina umbile la kuvutia tena na kwa umri wangu siwezi kumvutia mwanaume yoyote"
"Nia yangu ya kuolewa tena ni kuepuka upweke na si kwa sababu yoyote ile" alisema Wook na kuongeza kuwa anajihisi mpweke sana wakati huu ambao mumewe yuko mbali.
Bibi Wook alisema kuwa angependa kusherehekea sikukuu ya Eid el-Fitr wiki ijayo akiwa pamoja na mumewe.
Wook alisema kuwa ana mpango wa kumtembelea Muhammad kwenye kituo chake cha kurekebisha tabia jijini Kuala Lampur iwapo majirani zake watampeleka huko kwa gari.
Muhhamad alifunga ndoa na bibi Wook miaka mitatu iliyopita akisema kuwa urafiki wa karibu na heshima uligeuka kuwa mapenzi ya kweli.
Tuesday, September 15, 2009
'Naenda kwa mama'
A man and his wife quarreled and had a fight. After the fight, the wife went into the bedroom.
A few minutes later, the husband also trooped into the bedroom and only to find the wife busy packing her suitcase.
He asked "You are packing! Where are you going??".
She answered " To my mother!" The man paused for a while and also got his big brown pure leather suitcase and started packing his clothes.
The wife angrily stared at him and said "You are packing!Where are you going?"
He replied " Oh ya! I am going to my mother!" The wife " To your mother! And what about the children! Who is going to look after them?"
The man " You are going to your mother! Fine. I am also going to my mother. The children also should go to their mother"
The woman failed to continue her packing.
She looked steadily at the husband and was left without any other option but just to shed tears of joy.
She then hugged the man and said, " You are very intelligent. No wonder I married you; can I make you a cup of Tea???
Buriani Mpakanjia
MFANYABIASHARA maarufu nchini, Mohamend Mpakanjia, amezikwa leo mchana katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Mpakanjia alifariki dunia jana alasiri katika hospitali Kuu ya Jeshi, Lugalo, Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa mdogo wake, Hashim, mdau huyo wa masuala ya burudani alilazwa hospitalini hapo siku mbili kutibiwa ugonjwa aliouita kuwa ni wa kawaida.
Mfanyabiashara huyo ameaga dunia miaka miwili baada ya kufiwa na mkewe, Mbunge wa Viti Maalum, Amina Chifupa.
Mpakanjia na Amina wameacha mtoto, Rahman.
Monday, September 14, 2009
Hasira zilipomponza Serena Williams

NYOTA wa tenisi duniani, Serena Williams amejikuta katika sakata la aina yake baada ya kumbatukia mwamuzi wa nje katika mpambano kwenye michuano ya US Open.
Inadaiwa kwamba, Serena alimtukana mwamuzi huyo na kumtishia kumuua.
Hasira za Serena zimelisababisha anyang'anywe pointi hivyo kumpa mpinzani wake ushindi.
Soma hapo chini
TV viewers around the world saw the Wimbledon champion launch a threatening, profanity-laced tirade at a female line judge after being called for a foot fault.
'If I could, I would take this ******* ball and shove it down your ******* throat,' she reportedly said.
The diminutive lineswoman reported her words to the umpire, who called in the tournament referee at Flushing Meadows in New York.
With the crowd booing, Miss Williams could be heard on the court microphone pleading with the lineswoman, saying: 'I didn't say I would kill you.
Are you serious? I didn't say that.'But her extraordinary outburst meant she was docked a point on match point, handing a semi-final victory to bemused Belgian opponent Kim Clijsters in one of the ugliest-ever endings to a major sports match.
Mtanzania BBA 2009
Elizabeth Gupta
Age: 21
Hometown: Dar Es Salaam
Occupation: TV Presenter / Actress
Elizabeth has one sister, two brothers.
She says the best part of her country to visit is Mount Kilimanjaro and the best thing about Tanzanians is their kind and positive nature.
Elizabeth is a big Man United and Chicago Bulls fan and rates sleeping late and waking up too early as her bad habits.
She loves dancing, needle work, cooking, watching TV and traveling - she has also lived in Hungary.
Sala kabla ya tendo la ndoa
Jumuiya ya kanisa katoliki nchini Uingereza imewahimiza wanandoa wasali pamoja kabla ya kuanza kufanya tendo la ndoa.
Jumuiya hiyo imetoa kitabu maalumu chenye mafundisho ya sala hizo zinazodaiwa kuwasaidia wasisikie maumivu wakati wa 'yale mambo yetu'.
Sala hiyo maalumu kwa ajili ya wanandoa imetolewa na kanisa katoliki nchini Uingereza ili kusafisha nia za wanandoa ili pia tendo la ndoa lisiwe na ubinafsi.
Kitabu chenye sala hiyo maalumu ambayo hufanyika kabla wanandoa hawajaanza kujamiiana ili kuwaondolea dhambi na kuwahamasisha wajitume 'wakati wa mchezo'
Kimeandaliwa maalumu kwa lengo la kuwafanya wanandoa wasafishike na madhambi ya kimwili wakati wa tendo hilo na wasifanye ubinafsi katika kutimiziana haja za kimwili.
Kitabu cha sala hizo kimechapishwa na Catholic Truth Society, jumuiya ya kanisa katoliki yenye makazi yake jijini London.
Kwa mujibu wa kitabu hicho, sala itakayofanywa na wanandoa kabla ya kujamiiana itawafanya wanandoa wajitolee kwa kila mmoja, mioyo yao kufunguka na upendo wa kweli kuongezeka.
Kitabu hicho,"Prayer Book for Spouses" kina sala mbali mbali maalumu kwa kila hatua ya ndoa na familia kuanzia hatua ya kuchumbiana mpaka kulea watoto.
Kitabu hicho kinasisitiza watu kufunga ndoa na kuishi pamoja milele huku kikilaani utoaji mimba.
Kitabu hicho chenye kurasa 64 kinawakosoa watu ambao wanaona ni vigumu kuishi na mtu mmoja milele, kipo madukani nchini Uingereza kinauzwa kwa paundi 1.95.
Friday, September 11, 2009
Big Brother feki yawaadhiri wasichana
Wanawake tisa wa nchini Uturuki wamejikuta wakiadhirika kuona picha zao za utupu zikizagaa kwenye internet baada ya kuingia kwenye mtego wa jamaa waliozindua mashindano feki ya Big Brother.
Wanawake hao wenye umri wa kati ya miaka 16 na 24 wakidhani kuwa walikuwa kwenye mashindano ya kweli ya Big Brother , walifungiwa kwenye jumba kubwa la kifahari wakipigwa picha na video kwa takribani miezi miwili.
Badala ya kupata umaarufu na zawadi za pesa kwa kuwa nyota kwenye Big Brother, picha za utupu za wanawake hao ziliuzwa kwenye internet.
Big Brother hiyo feki ilivumbuliwa na polisi baada ya wazazi wa wanawake hao kushangazwa na kutoonyeshwa kwa mashindano hayo ya Big Brother kwenye televisheni yoyote ya Uturuki.
Maafisa wa polisi walilivamia jumba hilo lililopo kwenye jiji la Istanbul na kufanikiwa kuwaokoa wanawake hao.
Wanawake hao waliingia kwenye mtego wa Big Brother hiyo feki baada ya kuona matangazo kwenye internet yakitafuta washiriki wa mashindano mapya ya Big Brother ya Uturuki yanayoenda kwa jina la "Biri Bizi Gozetliyor" (BBG).
Waandaaji wa Big Brother hiyo feki waliwasainisha wanawake hao mkataba wa kukaa kwenye jumba hilo kwa miezi miwili.
Wanawake hao walisainishwa pia mkataba unaowataka walipe faini sawa na Tsh. Milioni 45 iwapo wangejitoa kwenye mashindano hayo.
Awali wanawake hao walifurahi kukuta jumba hilo la kifahari likiwa na kila kitu ndani pamoja na bwawa la kuogelea.
Lakini baada ya wiki chache wanawake hao waligundua kwamba mambo hayajakaa sawa kwenye mashindano hayo kwani kulikuwa hakuna michezo yoyote baina yao na hakuna mtu aliyekuwa akitolewa mwishoni mwa wiki.
Wakati walipotaka kujitoa, waliambiwa watoe kwanza pesa za faini walizokubaliana awali ndipo waruhusiwe kutoka.
Hakuna mshiriki yoyote aliyekuwa na uwezo wa kulipa faini hiyo hivyo waliamua bora waendelee kukaa kwenye jumba hilo mpaka miezi miwili itakapoisha.
Wakati polisi walipowasili kwenye jumba hilo, waliwasikia wanawake hao wakipiga kelele za kuomba msaada.Wanawake hao waliokolewa jumapili iliyopita.
Semenya ana mbegu za kiume
Bingwa wa dunia wa mbio za mita 800 za wanawake, Caster Semenya ana jinsia zote mbili za kike na kiume yaani kwa kiswahili fasaha huntha au kwa kimombo hermaphrodite.
Kwa mujibu wa gazeti la Sydney Daily Telegraph la Australia, Semenya hana tumbo la uzazi na pia hana ovari (kiungo kinachotoa mayai ya uzazi).
Gazeti hilo limedai kupata data hizo kutoka kwa chanzo chao cha kuaminika ndani ya shirikisho la riadha la dunia IAAF.
Gazeti hilo limedai kuwa Semenya ana makende (viungo vya kiume vinavyozalisha homoni za testosterone) ambazo humfanya mwanaume awe na misuli, vinyweleo mwilini na sauti nzito.
Inadaiwa kuwa Semenya(18) ameingia mafichoni tangu gazeti hilo lilipotoa taarifa hizo jana.
Gazeti hilo pia lilisema kuwa shirikisho la riadha la dunia IAAF linatarajia kumnyang'anya Semenya ubingwa wake na kumpiga marufuku kushiriki mashindano yoyote ya riadha sanjari na kumshauri afanye operesheni kurekebisha hali hiyo kwa kuwa ni hatari sana kwa afya yake.
IAFF ilithibitisha kupokea matokeo ya jinsia ya Semenya jana lakini maofisa wake walisema kuwa matokeo hayo hayatawekwa hadharani kwa muda wa wiki mbili mpaka watakapokutana na kuongea na Semenya mwenyewe.
Msemaji wa IAAF, Nick Davies alisema kuwa matokeo hayo yataanikwa hadharani baada ya wataalamu kuyapitia tena na baada ya Semenya mwenyewe kuonyeshwa matokeo hayo.
"Hakuna kitu kitakachotolewa mpaka wataalamu watakapomaliza kuyapitia tena matokeo ya jinsia yake, hatuwezi kusema itachukua muda gani lakini ni ndani ya wiki chache zijazo".
Hata hivyo gazeti hilo lilidai kuwa matokeo hayo tayari yameishavuja na mbali ya kuonyesha Semenya ana jinsia mbili yanaonyesha pia kuwa Semenya ana kiwango kikubwa cha testosterone mara tatu zaidi ya mwanamke wa kawaida.
IAAF itabidi imnyang'anye Semenya ubingwa wa dunia wa mita 800 baada ya matokeo hayo kutangazwa kama yatathibitisha habari hizo kuwa ni za kweli.
Hata hivyo IAAF ilishasema awali kuwa haifikirii kumnyang'anya Semenya tuzo yenyewe ya medali ya dhahabu ambayo alipewa baada ya kunyakua ubingwa huo.
Semenya aliingia mafichoni jana usiku baada ya taarifa za gazeti hilo kutolewa na kuna uwezekano mkubwa hatatokea kwenye mashindano ya riadha ya mita 4000 ya wanawake yaliyopangwa kufanyika jijini Pretoria, Afrika Kusini.
Afungwa jela kwa kuoa marafiki kwa siri
Wanawake wawili wa nchini China waliokuwa marafiki baada ya kuanza kazi kiwandani walipigwa na butwaa walipogundua kuwa wameolewa kwa mume mmoja na wote wamezaa naye mtoto mmoja.
Bwana Cui Bin, 42, mkazi wa Zhengzhou, amehukumiwa kwenda jela miezi mitatu kwa kufunga ndoa na wanawake wawili bila wanawake hao kufahamu, limeripoti gazeti la Dahe Daily.
Bin alimuoa kwanza Zhang Dandan na kufanikiwa kupata mtoto wa kike, lakini akawa na hamu ya kupata mtoto wa kiume.
"Nilitaka siku zote niwe na mtoto wa kiume, lakini kutokana na sheria za China zinazoitaka kila familia kuwa na mtoto mmoja tu ilinibidi nitafute mwanamke mwingine wa siri" alikiri Bin.
Baada ya kuona amepata mtoto wa kike kwa mke wake wa kwanza, Bin aliamua kumuoa mwanamke mwingine aliyeitwa Wang na kufanikiwa kuzaa naye mtoto wa kiume.
Bin aliugawanya muda wake kwa wake zake wote wawili huku akitumia sababu mbali mbali wakati alipokuwa akitoka kwa mke mmoja kwenda kwa mwingine.
Wakati huo huo Zhang na Wang walikutana kazini na kugeuka kuwa marafiki kutokana na kupenda kuimba miziki ya Karaoke, hawakuwahi hata siku moja kufikiria kwamba walikuwa wameolewa na mume mmoja.
Wang alikuwa akijua kuwa mume wa rafiki yake alikuwa anafanya kazi za ujenzi mji mwingine.
Zhang naye kwa upande wake alikuwa akijua kuwa Wang alikuwa ameolewa hivi karibuni lakini hakuwahi kumtembelea nyumbani kwake.
Ukweli wa mambo uliibuka wakati Wang alipoanza kuhisi mume wake ana kimada nje baada ya kumsikia mumewe akiongea na mwanamke mwingine kwenye simu.
Wang alichukua simu ya mumewe na kuipiga namba ya mwisho kupigwa na ndipo alipopigwa na butwaa alipobaini kuwa alikuwa akiongea na mke mwenza.
"Nilipiga namba ya mwisho kwenye simu yake na mwanamke alinijibu kwa kusema kuwa yeye ni mke wa Bin, kwa kuwa tulikuwa tukifahamiana kwa sauti, moja kwa moja tulijuana" alisema Wang.
Thursday, September 10, 2009
Anafurahi kuwa na mtoto aliyempata kwa kubakwa
NI habari inayosikitisha lakini inafundisha, ungekuwa wewe sijui ungefanya nini.
Alibakwa akiwa na umri wa miaka 19 akiwa amelewa, na cha kushangaza alipoamka hakutambua kuwa alikuwa kabakwa, na kajazwa mimba.
Mtego wa kumbaka ulitegwa kwenye party aliyoiandaa bosi kwa wafanyakazi, ingawa hakuwa na kawaida ya kwenda kwenye 'minuso' kama huo, ilibidi aende kujumuika na wafanyakazi wenzake ili asionekane anajitenga.
Alibakwa usiku huo, kesho yake alisikia minong'ono kwamba mmoja wa wanaume ofisini kwao 'alijirusha nae' baada ya pati.
Hakukumbuka kwamba hilo lilitokea ila alikumbuka kwamba alilewa wine.
Siku za nyuma aliwahi kunywa pombe lakini alishangaa hakukumbuka chochote kilichotokea siku ya pati.
Hakukumbuka alifika vipi nyumbani au chochote kilichotokea baada ya saa tano usiku.
Baada ya kubaini kuwa alibakwa na kajazwa mimba alitaka kuitoa, alifikiria kwenda kushitaki polisi lakini alijiuliza atasema nini huko.
Leo ni mama mwenye furaha, anamlea mtoto mwenye umri wa miaka saba aliyempata kwa kubakwa!
Soma zaidi hapo chini
The party was a rare night out. Raised in a devout, Christian family in Reading, Berks, I was more used to going to choir practice than clubs with friends.
But I had just landed a job with a telemarketing company and, when the new director announced he was taking us all out for a drink, I didn't want to seem unfriendly, so I agreed to go along.
I arrived quite late and a guy called Rob*, who I recognised from another group of friends, came over to chat.
I was drinking lemonade - I'd wanted to remain clear-headed with my work colleagues - but when he handed me a glass of wine I accepted.
Miriam considered an abortion when she fell pregnant after being raped but she has no regrets about having her daughter, now aged seven.
I was only 19 and desperate not to appear rude. Still, I took only a couple of sips and then, when he wasn't looking, left the glass on the bar. The next few minutes are a blur.
I vaguely remember feeling woozy and falling to the floor, and I recall a friend helping me outside and then going to find us a taxi.
Then I have a hazy memory of Rob pushing me against a wall. But that's all I can recall.
I know I wasn't drunk, but I have no memory of how I got home or what happened after 11pm.
The next thing I remember is waking up the next morning at my friend Laurel's house.
'What happened last night?' he asked. 'I got a call from a taxi driver, who said you'd been left by the road with no money.'
Thankfully, the taxi driver had seen the state I was in and gone through my phone, dialling the most recently called numbers to try to find someone who would help me.
Laurel had answered, directed the taxi to his house and paid the driver.
He told me I'd been crying and unintelligible when I arrived, so he'd assumed I was drunk. He put me to bed on the sofa to sleep it off.
My mind was in a turmoil. I couldn't tell Laurel what had happened because I didn't know myself and that was terrifying.
I kept getting flashbacks of being on the ground outside the club and someone being on top of me My head was pounding as if I had a hangover and I kept getting flashbacks of being on the ground outside the club and someone being on top of me.
But I didn't have any bruises or ripped clothes and, apart from feeling sick, there was nothing physically wrong with me.
The thought that something sexual might have happened did flash through my mind, but I quickly dismissed it. I felt sure that I'd have known if I'd had sex.
Not being able to remember what had happened was the worst part of the ordeal - it was like a black hole in my brain.
I've drunk alcohol in the past and knew it could make you forget, but this was a complete blackout. As I hadn't been drinking, I just could not work it out.
I thought about going to the police, but what would I say? They'd think I was an idiot - after all, I had no idea what had happened.
As the feelings of nausea and tiredness wore off over the weekend, I decided to put the whole thing out of my mind.
But at work on Monday, I overheard someone gossiping that I'd slept with Rob at the party.
Apparently, his girlfriend had seen him pushing me against the wall outside as she stormed off in a taxi.
Angry and confused, I emailed him and demanded to know what had happened.
He admitted he'd tried to kiss me, but reassured me that I'd rejected his advances and nothing had happened.
I wasn't sure if I trusted him, but I had nothing else to go on. Wanting to forget about the whole night, I tried to get on with my life.
Good can come of evil: Miriam has developed a close bond with her daughter and will one day tell her how she was conceivedI was relieved when, a few weeks later, I was made redundant. It would be a chance to start again.
A few weeks later, I started dating my friend Laurel and life seemed really good.
So good, in fact, that I ignored the fact I was feeling dizzy and tired all the time.
But then one day I fainted in the supermarket. Coming round on the floor, surrounded by people, I had no idea what was wrong. Frightened, I went straight to my doctor.
He asked if there was any possibility that I could be pregnant, but Laurel and I hadn't slept together, so I said 'No'.
He took some blood to send off for tests. On the way home, I visited a friend, who was six months pregnant.
Describing my symptoms to her, she said it sounded as if I could be pregnant and insisted I take a test.
Wanting to prove her wrong, I did a test straight away in her bathroom. It's hard to describe the shock I felt when I saw it was positive.
I sat staring at the blue line for ages, shaking my head and saying: 'No, no, this can't be true.
'Finally, I managed to get myself together and went straight to a local family planning clinic.
They confirmed I was 16 weeks pregnant, telling me that the baby had been conceived in April.
Something clicked. Rob's face appeared in my mind and I instinctively knew he'd raped me.
I was so angry and confused: how could this be happening to me? I never thought I'd end up a young, unmarried mother It sounds like a cliche, but my body went numb.
It was as if I was floating - looking at my life from outside and wondering what was going on. I told Laurel later that night.
I knew he wouldn't be angry with me because he's such a lovely guy, but he was furious with Rob.
He remembered the night it had happened and how out of control I'd been. He encouraged me to go to the police.
I was furious, too, so I agreed, but first I wanted to confront Rob. I called him and told him about the baby. He went quiet.
Then he said: 'Look, I apologise for what I did to you that night - but I didn't think it would come to this.
'He was at work, so couldn't talk much, but I was shaking with fury. He said he'd call me back later, but didn't. When I called him again, he'd changed his tone.
'What's this got to do with me? How do I know this baby is even mine?' he asked. 'You've got to get rid of it.'
Until then, I'd been too scared to tell my parents. I knew they'd be disappointed about me having a baby outside marriage.
But, distraught at Rob's reaction, I went straight to their house and told them
everything.
everything.
They were incredibly upset, but after the initial shock, they were supportive.
Dad insisted I go to the police. At the station, the female officer took down my story and asked if I thought I'd been drugged. When she described the effects of date rape drugs, it fell into place.
I'd had only a sip of wine and was unable to remember anything. I was convinced that's what had happened, so they started an investigation.
I was so angry and confused: how could this be happening to me?
I never thought I'd end up a young, unmarried mother, but here I was doing exactly that.
Coming from such a Christian family, I've never believed in abortion, but suddenly finding myself pregnant with a rapist's baby, I looked at it differently.
I just couldn't face the thought of the baby being born and looking like Rob - it would be a constant reminder of what had happened.
I didn't have long to decide what to do - 24 weeks is the latest you can have
an abortion.
an abortion.
Laurel was incredibly supportive and put no pressure on me to have a termination, but despite everyone's assurances I just couldn't stop feeling that I had an alien growing inside me.
After seeking counselling, I decided to go ahead with the termination.
I thought: 'If I don't have this baby inside me, all my problems will be over and I can move on with my life.'
Wednesday, September 9, 2009
Mtoto wa mwaka mmoja ana mimba

Madaktari nchini China walipigwa na butwaa baada ya kugundua kuwa mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja ana mimba ya kichanga kingine.
Mtoto Kang Mengru wa nchini China alipelekwa hospitali baada ya wazazi wake kushtushwa na hali ya tumbo lake kuzidi kuwa kubwa siku hadi siku.
Baada ya mtoto huyo kufanyiwa ultrasound, madaktari waligundua kuwa mtoto huyo wa kike alikuwa amebeba kitoto kichanga kwenye tumbo lake ambacho kilikuwa kikiendelea kukua.
Madaktari wanaamini kuwa mama wa mtoto huyo alikuwa na mimba ya watoto wawili mapacha na pacha mmoja alijitokeza ndani ya tumbo la pacha mwenzake.
Hali kama hiyo ya kichanga kuzaliwa ndani ya kichanga kingine ni nadra sana kutokea na humtokea mwanamke mmoja katika wanawake 500,000.
Mtoto Kang atafanyiwa upasuaji kukiondoa kichanga hicho tumboni mwake.
Wow, Semenya!
INAWEZEKANA kuvaa bangili, gauni la usiku na kupata lipstick si kigezo cha kuthibitisha kwamba muhusika ni mwanamke lakini kwa namna fulani inasaidia kufikisha ujumbe.
Ndivyo alivyofanya Caster Semenya (18) kuudhihirishia ulimwengu kuwa yeye ni mwanamke na si vinginevyo.
Hivi karibuni jina lake lilikuwa maarufu kote duniani si kwa sababu ya kutwaa medali ya dhahabu kwenye mashindano ya riadha jijini Berlin, kulikuwa na utata kuhusu jinsi yake, ikadaiwa huenda ni mwanaume.
Angalia picha hiyo juu, kama mlimwaga mboga yeye kamwaga ugali, bado hamuamini kuwa ni mwanamke?
Washiriki Big Brother Afrika 2009 (2)
Jeremy wa Kenya
Teddy wa Kenya
Lionel wa Msumbiji
JEREMY – KENYA
JEREMY – KENYA
Age: 22
Describe yourself in 5 words: Competitive, passionate, fun, energetic and analytical
Favourite TV Shows: Heroes, The Practice, America’s Best Dance Crews, Scrubs
Favourite Musicians: Nameless, Amani
Favourite Actors: Hugh Jackman, Russell Crowe
Mr. University Kenya 2009 winner Jeremy has more than just looks going for him – he’s currently studying towards a BSc Degree in Telecommunication and Information Technology plus accounts.
He admires Richard Branson because he takes money doing things that he loves.
He is proud to be Kenyan because of the resilience of the people and their ability to move on from hardships.
Jeremy entered Big Brother Revolution because it presented him with a chance to do something new, unconventional and extraordinary.
Asked how he would spend USD 200 000 if he wins, he says, “Wow, I don’t really know.”
------------------------------
------------------------------
TEDDY - KENYA
Age: 34
Describe yourself in 5 words: Intelligent, Extrovert, Entertaining, Creative, Assertive
Favourite Musicians: Jay-Z, Kanye, Ciara
Favourite Book: Rich Dad, Poor Dad
Favourite Food: Roast Meat/Chicken, Ethiopian Bread , Curry
Multi-talented advertising copywriter, voice-over artist and broadcaster Teddy has a BA in International Relations from the United States International University in Nairobi.
He says the best thing about Kenyans is their spirit of resilience and rates the Masai Mara as the best place in his country to visit.
Teddy says “my mom is my role model, because of her passion for life and optimism”.
Pessimists and whiners really irk him, while he says falling in love too quickly is one of his bad habits.
Teddy says viewers should watch him because of the unexpected twists he’ll bring to the house and because he’s always entertaining.
“If I win a reward challenge, I’d love my prize to be an all-expenses-paid trip for two to the 2010 Soccer World Cup Finals,” he says.
---------------------------------
LEONEL - MOZAMBIQUE
Age: 23
Describe yourself in 5 words: Positive, Energy, Emotive, Happy, Funny
Favourite Memory: My first overseas trip to Brazil
Favourite TV Shows: So You Think You Can Dance, Dexter, Big Bang Theory
Favourite Movie: Matrix
Single IT administrator Leonel is proud to be the first Mozambican in Big Brother Africa.
He says the best thing about Mozambicans is their kindness and he’s proud of his country for its strong culture.
The best advice he ever received was “study hard”, courtesy of his cousin.
Leonel is passionate about capoeira and says he’ll miss his capoeira students, his daily routine and his friends most when the Big Brother doors close.
Sometimes forgetful, Leonel dislikes false people.
Tuesday, September 8, 2009
Washiriki Big Brother Afrika 2009 (1)
Kaone wa Botswana
Yacob wa Ethiopia
KAONE - BOTSWANA
Age: 26
Describe yourself in 5 words: Open, friendly, driven, respectful, creativeFavourite Musicians: Jay-Z, Kanye West, Crespo
Favourite Books: Anything by John Grisham & Robert Ludlum
Favourite Movies: Bruce Almighty, Boys in the Hood
Kaone lists his relationship status as “Single – and ok about it”.
Having studied Communication and International Relations, he is currently an intern principal Youth Officer.
He relaxes by sleeping, watching TV and taking part in slam poetry sessions.
Kaone thinks the most beautiful place in Botswana is the Okavango Delta and draws inspiration from Sir Seretse Kgama because he was “an original!”
Kaone entered Big Brother Revolution for the money, exposure, to learn and to have fun.
When asked what he would miss most about the ‘outside world’ once he enters the house, he replied “to do what I want, when I want.”
He says his worst habits are smoking and being unemotional and promises Big Brother viewers that he’ll keep them on the edge of their seats because “I am the Revolution.”
--------------------------
YACOB - ETHIOPIA
Age: 28
Describe yourself in 5 words: Funny, adventurous…
Favourite TV Shows: Scrubs, Seinfeld
Favourite Food: Chicken, spaghetti, Chinese, Indian and Ethiopian food
Favourite Musicians: Tupac, Jay-Z, The Roots, Akon
At 6’4”, Yacob is the tallest contestant on Big Brother Revolution. He is an Assistant Manager in a factory and has a BA degree in Communication.
He is single and has one older sibling. Yacob regards his father as his role model because of his hard working ethic.
Yacob says his bad habits are drinking and smoking and he’d love to visit Brazil because the women are sexy.
He studied in California, where he lived for 5 years and likes listening to music, playing basketball and watching TV.
Yacob entered Big Brother Revolution for the experience of a lifetime and promises viewers honesty during his time in the house.
“I tell it how it is – the viewers will see the real Yacob in the house,” he says. He says he will miss being free to drive around.
-----------------------------
WAYOE - GHANA
Age: 34
Describe yourself in 5 words: A truthful, charismatic, confident person
Favourite Food: Jollof rice, soupFavourite Actors: Denzel Washington, Harrison Ford
Favourite Musician: Kojo Antwi
A father of 2 girls, LLB student Wayoe lists his greatest achievement in life as making it into the Big Brother house.
He respects anyone who has natural talent and has lived in a few other countries including Cote d’Ivoire and Liberia.
Wayoe enjoys talk shows and soap operas and lists history books as his favourite type of book.
Wayoe is proud of his country because it is the gateway to Africa and says the best thing about Ghanaians is their hospitality.
If he wins Big Brother Revolution, he plans to spend the money on his education and profession, his musical talents and for charity.
Subscribe to:
Posts (Atom)







































