NYOTA wa tenisi duniani, Serena Williams amejikuta katika sakata la aina yake baada ya kumbatukia mwamuzi wa nje katika mpambano kwenye michuano ya US Open.
Inadaiwa kwamba, Serena alimtukana mwamuzi huyo na kumtishia kumuua.
Hasira za Serena zimelisababisha anyang'anywe pointi hivyo kumpa mpinzani wake ushindi.
Soma hapo chini
TV viewers around the world saw the Wimbledon champion launch a threatening, profanity-laced tirade at a female line judge after being called for a foot fault.
'If I could, I would take this ******* ball and shove it down your ******* throat,' she reportedly said.
The diminutive lineswoman reported her words to the umpire, who called in the tournament referee at Flushing Meadows in New York.
With the crowd booing, Miss Williams could be heard on the court microphone pleading with the lineswoman, saying: 'I didn't say I would kill you.
Are you serious? I didn't say that.'But her extraordinary outburst meant she was docked a point on match point, handing a semi-final victory to bemused Belgian opponent Kim Clijsters in one of the ugliest-ever endings to a major sports match.
Serena anacheza vema, ila ana matatizo ya kutofikiri kabla ya kusema. Na hili kwenye mechi pekee, hata baada ya mechi. Binafsi napenda saaana uchezaji wao, lakini post mact conference za Serena huwa hazinivutii hata kidogo. It's all about her. Akishinda ni kwa kuwa amecheza vema na akishindwa ni kwa kuwa hakucheza vema. Hakuna anayemshinda kwa kuwa mpinzani wake amecheza vizuri. Atakuja na excuse ya kumfanya aonekane kama hakucheza vema ndio maana kashindwa na sio kuwa mpinzani wake kacheza vema.
ReplyDeleteHili la juzi nalo likamfinyanga kwelikweli. Haijalishi kama walikosea, lakini angestahili ku-behave kama pro tennis player.
Najua maisha ni hatua na amejifunza kitu.
Blessings
Nakubaliana kabisa na Mzee wa Changamoto!
ReplyDeleteKuna wanamichezo nao waheshimu katika mchezo na pia wasanii kadhaa , ila wakianza tu kuhojiwa naanzakujisikia vibaya mmoja wapo ni huyu!:-(
No matter whether that you are just beginning an exercising program, or
ReplyDeleteyou are a skilled athlete, the following pointers could assistance you to own a far more
effective training.
Feel free to surf to my webpage dumbbell sets for sale
Properly potentially property built health club products could be the reply.
ReplyDeleteMy webpage - bowflex selecttech dumbbells