Thursday, September 24, 2009

Breaking News

MABOMU yamelipuka Mbagala muda mfupi uliopita.
Kuna taarifa zinazodai kuwa watu wawili wamekufa, wengine kadhaa wamejeruhiwa.
Taarifa zaidi baadae.

2 comments:

  1. Basil habari za kazi.Poleni na hizi taarifa za mabomu tena Ninashangaa kama bado hayo mabomu yanaendela kutekeza watu kaika nchi isiyo na vita.Nimekumbuka sana kwetu karibu nitakuja kwa ajili ya research.
    ]HELEN KIJO-BISIMBA

    ReplyDelete