Wednesday, September 9, 2009

Wow, Semenya!


INAWEZEKANA kuvaa bangili, gauni la usiku na kupata lipstick si kigezo cha kuthibitisha kwamba muhusika ni mwanamke lakini kwa namna fulani inasaidia kufikisha ujumbe.
Ndivyo alivyofanya Caster Semenya (18) kuudhihirishia ulimwengu kuwa yeye ni mwanamke na si vinginevyo.
Hivi karibuni jina lake lilikuwa maarufu kote duniani si kwa sababu ya kutwaa medali ya dhahabu kwenye mashindano ya riadha jijini Berlin, kulikuwa na utata kuhusu jinsi yake, ikadaiwa huenda ni mwanaume.
Angalia picha hiyo juu, kama mlimwaga mboga yeye kamwaga ugali, bado hamuamini kuwa ni mwanamke?

2 comments:

  1. du kafanana na dume balaa

    ReplyDelete
  2. mh! huyu dada jamani mbona MTATA.
    kama dume vile, ila mimi nahisi kuwa huyu mdada anahomons za kiume coz hata lile voice lake si masihara. all in all ni mshindi.
    all the best to her

    ReplyDelete