Friday, July 29, 2011

Balotelli kweli kapinda, eti hawezi kuvaa!

Balotelli anajua lakini full vituko, ukorofi

Toto tundu Balotelli alivyomkera kocha wake

What's my name

Habari njema kwa mashabiki wa Arsenal

Kiungo 'jembe' Juan Mata anakuja Arsenal
Babu Wenger

ARSENAL hope to seal a stunning £34million double swoop for Juan Mata and Phil Jagielka.


Valencia winger Mata has told friends he is joining the Gunners in a £19m deal.


And boss Arsene Wenger, rapped for not being more active in the transfer market, hopes to snap up Everton defender Jagielka with a £15m offer.


Arsenal's £13m bid for Jagielka is set to be turned down - but they will make another immediate attempt to land the England centre-back.


Both buys will smash the club's £12m record fee paid to Zenit in 2009 for Andrey Arshavin.


The arrival of Mata, 23, would be seen as a coup as Spurs have also launched a last-ditch bid.


Jagielka, 28, is expected to demand a four-year contract and wages of up to £100,000 a week.


Gunners striker Nicklas Bendtner is set to finalise a £9m move to Sporting Lisbon this weekend.

Wabunge watatu watimuliwa bungeni


Wabunge wa Chadema, kutoka kushoto, Mchungaji Peter Msigwa, Godbless Lema, na Tundu Lissu (wa kwanza kulia),wakiwa na Mbunge mwenzao, John Mnyika nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma baada ya Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai kuwafukuza bungeni wabunge watatu.


Wabunge watatu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akiwemo Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu (Singida Mashariki) jana walifukuzwa bungeni.


Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai pia aliwatimu Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na Mchungaji Peter Msigwa (Iringa Mjini).


Walifukuzwa kutokana na kile Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai alichoeleza kuwa ni kukiuka Kanuni za Bunge zinazowataka kutozungumza chochote ndani ya bunge bila idhini ya kiti cha Spika.

Mbunge mwingine wa Chadema, Ezekiah Wenje (Nyamagana) juzi alitimuliwa bungeni kwa sababu hiyo hiyo.


Lissu, Lema na Msigwa walipewa adhabu hiyo baada ya kubishana na
Ndugai bila utaratibu, Wenje alifukuzwa kwa sababu alitaka mwongozo wa kiti cha Spika Mwenyekiti wa Bunge akakataa.


Lissu, Msigwa na Lema walipinga kile walichokiita muda mrefu aliokuwa amepewa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, kueleza kukiukwa kwa kanuni za Bunge.


Lukuvi aliomba kupewa mwongozo wa Naibu Spika mara baada ya Lema ambaye ni Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani ya Nchi, kusoma hotuba ya maoni ya kambi ya upinzani kuhusu wizara hiyo ambayo ilikuwa na shutuma nyingi
dhidi ya Serikali, hasa Jeshi la Polisi

"Mwongozo wa Spika, mwongozo wa Spika........Mheshimiwa Naibu Spika sasa......," alisikika sauti ya Lissu wakati Lukuvi akiendelea kuzungumza, Ndugai akasimama na kumuonya.


"Nimesema hairuhusiwi kuwasha mic (kinasa sauti) yako bila ruhusa yangu...waziri endelea...." alisema Ndugai.


Baada ya kauli hiyo, ndipo vipaza sauti ambavyo haikuwa rahisi kufahamu idadi yake viliwashwa na sauti kuanza kusikika zikimkosoa Ndugai kwamba anapendelea, kwa madai kuwa Lukuvi alipewa muda mrefu wa kuomba utaratibu
tofauti na msimamo wa awali aliokuwa ameutoa Naibu Spika huyo

"Mheshimiwa Naibu Spika, haiwezekani ..." ilisikika sauti ya Msigwa huku sauti nyingine kadha wa kadha zikisikika bila mpangilio hali iliyosababisha taharuki na kuathiri shughuli za Bunge.


Sauti hizo zilisababisha mzozo na kukosekana kwa utulivu na usikivu bungeni hivyo Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Kongwa (CCM) akaamua kutumia rungu lake kuamuru wabunge hao watoke ndani ya ukumbi wa Bunge.


"Nilishasema tangu asubuhi na nimewakumbusha kwamba hakuna Mbunge anayeruhusiwa kuwasha microphone (kinasa sauti) na kuzungumza bila idhini ya kiti, sasa naanza kutumia kanuni, nimewaona wabunge watatu, Mheshimiwa
Lissu, Mheshimiwa Mchungaji Msigwa na Mheshimiwa Lema, tokeni nje," aliamuru Ndugai na kuongeza:


"Tena nitafuatilia kuhakikisha kwamba mnaondolewa kabisa nje ya geti (lango kuu) la kuingilia bungeni, muondoke kabisa katika eneo hili."

Wabunge hao walitoka nje huku wakisindikizwa na askari (wapambe) wa Bunge hadi nje ya ukumbi na baadaye kuondolewa kabisa katika eneo hilo, hivyo kutokuwa na fursa hata ya kuzungumza na waandishi wa habari.


Kwa mujibu wa kanuni za Bunge, wabunge hao jana hawakuruhusiwa kurejea tena bungeni siku hiyo, badala yake watarejea leo kwa kuwa adhabu yao ni kukosa kikao kwa siku moja tu.

Thursday, July 28, 2011

Rihanna- California king bed

Rihanna- Ninaposex nataka kujisikia mwanamke

Mwanamuziki maarufu, binti mrembo, Rihanna (23) amevunja ukimya kuhusu hisia zake anapojamiiana.

Rihanna anasema, anajiongoza karibu katika kila kitu cha maisha yake, hivyo anataka anapovunja amri ya sita, a.ka. anaposex, a.ka. anapojamiiana, ajisikie kuwa yeye ni mwanamke, yaani mwanaume atawale mpambano.


Mrembo huyo kafunguka kwa kusema, haina maana kwake kama hata kwenye game kitandani yeye atakuwa 'mwanaume' akimaanisha kwamba, huyo aliyenaye atashindwa kuutawala mchezo.



Rihanna has revealed that she likes a man to take control in the bedroom.


The 'Man Down' singer, who is currently single, explained that she likes to feel like "a lady" when she's with a man.Explaining why she likes a man to take charge, she told Glamour:


"I play a very dominant role in my life, in every aspect of it. And I like to feel like a lady still, at some point.


"I feel like that's the time when a guy really gets to be a man, and I get to be a woman. And if I'm being a man in the bedroom too, there's nothing really in it for me.


"Rihanna also said that she feels frustrated that she can't act like a "rock star" because she has to set an example to young girls.


"I want to set the right example and, at the same time, live my life," the 23-year-old commented.


"I feel like popstars can't be rock stars anymore because they have to be role models, and it takes the fun out of it for us, because we just want to have fun with art.


"The star, who has been named 'Woman of the Year' by Vogue Italia, explained that her style has changed over the years, and said that she now dresses to please herself alone.


"In the beginning of my career, it was really strict for me. I couldn't wear pink or red lipstick; it was just bizarre.


We had a young fan base, and they were trying to keep me fresh, but I just really wanted to be myself. I wanted to be sassy, the attitude, all these things that I am," she explained.

'Mchuchu' amuonya mke wa Ashley Cole

Cherly Cole na Ashley Cole siku ya ndoa yao

Cherly Cole


The Virgin Atlantic air hostess who claims to have had a fling with Ashley Cole while he tried to win back his ex-wife Cheryl Cole has written an open letter to the popstar.


Kerry Meades recently revealed details of her alleged time with the Chelsea footballer, claiming that she had slept with him in America, where he "acted like a single man".


In a public letter to the former X Factor judge - published in Reveal magazine - 29-year-old Meades warned Cheryl that she "deserves better" than Ashley.


However, while she said "sorry", Meades made it clear that she is not apologising "for my actions", insisting that she believed Ashley "was a single guy" at the time.


"But I'm sorry you've had to learn this way that Ashley isn't the changed man you thought he was," she wrote.


"It's clear you love Ashley, as you've taken this huge risk to take him back. I feel awful because he's let you down again. I think it's clear he's not going to change."Meades continued:


"I really fancied him as a person. He might be short but what he lacks in height he makes up for in personality. But don't be fooled by his act. He's calculating and knows exactly what he's doing.


"While he was trying to win you back he was with me - and that is just wrong."Meades went on to warn Cheryl: "If you choose to forgive him, my only advice is keep one eye open at all times.


He's in a position where he can destroy you - and I really hope you don't let that happen.


"Recent reports have suggested that Cheryl was furious to discover Ashley's latest alleged flings and had called off a potential reunion.

Aksante mama

Bunge lachafuka tena, Mbunge atimuliwa

Harakati za kumtoa nje Wenje
Wenje anaeleza alitaka kuzungumzia nini kwenye jambo hilo la dharura

Ilikuwa dharau, zogo, kuzomeana na kutoheshimu kanuni za Bunge, sasa ni dhahiri kwamba hadhi ya Mhimili huo wa Dola inazidi kushuka kwa kuwa sasa wabunge wanasutana!


Wabunge kutoka Kambi ya upinzani jana walimsuta Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe baada ya Mbunge huyo kumweleza Mbunge wa Nyamagana, Ezekiah Wenje kuwa alikosa ustaarabu kwa kutomtii Mwenyekiti wa Bunge, Sylvester Mabumba.


Mabumba alimuamuru Wenje atoke nje ya ukumbi wa Bunge baada ya Mbunge huyo kusimama na kutaka kuzungumza jambo alilosema ni la dharura bila ruksa ya Mwenyekiti wa Kikao.


Wenje hakutii amri ya Mwenyekiti wa Bunge, ikatolewa amri kuwa atolewe kwa nguvu, wahusika wakatekeleza wajibu wao.


Baada ya Filikunjombe kusema Wenje hakuwa mstaarabu, wabunge walimvaa, wakashutumu na kumsuta kuwa alikosa uzalendo kwa kuwa mwenzake alitaka kuzungumzia jambo la msingi linalogusa afya za wananchi.


Kwa mujibu wa Wenje, Kanuni za Bunge zinamruhusu Mbunge kuzungumzia jambo la dharura, na kwamba, yeye alitaka kuomba Bunge lijadili suala la samaki wanaodaiwa kuwa na sumu walioingizwa nchini kutoka nchini Japan.


Kulikuwa na zogo kubwa nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma, wabunge walimzonga Filikunjombe na nusura wampige.
Filikunjombe (wa pili kushoto) ilibidi awe mpole.

Wenje (wa tano kushoto mwenye suti nyeupe) aliungana na wenzake kumshushia Filikunjombe mzigo wa lawama.


Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu


Picha zote kwa hisani ya blog ya Prince-Minja

Wednesday, July 27, 2011

Wanawake waiba chupa za shampeni, wazificha sehemu za siri

Wanawake wawili wamenaswa dukani jijini florida nchini Marekani wakiiba chupa za shampeni na kuzificha katika sehemu zao za siri.


Hadi walipokamatwa wanawake hao walikuwa wameshachimbia kunako chupa NNE zenye thamani ya dola 400 za Marekani.

Kamera za ulinzi zimewaumbua wanawake hao kwa kuwa wameonekana tangu walipoingia dukani humo, namna walivyoinua sketi zao na kuzichimbia chupa katika sehemu zao nyeti ha di walipokamatwa.


A long skirt isn't your typical accessory for a crime, but it certainly appears effective.


Two women stole several bottles of champagne from a South Florida liquor store by shoving them up their skirt, all totally in view of the surveillance camera.


The upskirt bandits struck at the DPF Liquors store in Pembroke Park.


According to the owner, Paul Mouts, the two women made their way to the back of the liquor store, opened the cooler and put several Champagne bottles under their billowing skirts.


He said: 'They came over here, right in this fridge where I keep my cold Champagne and my cold wines, righton this row. Now it's missing. There's nothing on this row.


Surveillance video captured the first woman grabbing a bottle off the shelf, which she then placed under her skirt. The other woman followed and grabbed another bottle and put it up her skirt.


Mr Mouts said: 'How easy was that? She put it on this shelf. Then she picked it up. Then she put it right here, so easily. It was like nothing.'


He said a total of four bottles were stolen, with a total estimated value of $400.


'They took four bottles of Moet Rose, which is a high-demand item, and there's not enough supply, and it's worth about $90 each,' he said.


'These women are low-life people to me, and it's really not worth it to do that.'


He added: 'To us over here, it wasn't too funny. It's a big hit, $400, especially nowadays.'


Last October, the same store, and another liquor store, a block away, was hit in the same manner.

Police identified the perpetrators in this first robbery, but have been unable to find the women, wsvn.com reports.


Mouts said, 'It's very frustrating. It's the second time, and I want them caught.'

Man City walamba dume

SERGIO AGUERO is having a medical in Manchester after flying in to seal his £39million move to City.


The Atletico Madrid striker confirmed his arrival in the country on his Twitter page this morning.


He tweeted: "Just landed in Manchester to finalise the details of the deal with City. Everything is good! I'll tell you more soon."


Aguero has been a long-term target for City boss Roberto Mancini.


But the Italian's urgency to secure the Argentina international, 23, increased when Carlos Tevez declared his intent to quit the Etihad.


Aguero, who is married to Diego Maradona's daughter, is set to sign a five-year contract with City, worth £170,000 a week.


The player has made 175 appearances for Atletico and scored 74 goals. He has also hit 13 goals in 30 senior matches for Argentina.

The capture of Aguero is a major boost to City, who beat off competition from Italians Juventus and Inter Milan and Spaniards Real Madrid.


Boss Mancini and City found themselves in the driving seat a few weeks ago when Arguero declared he favoured a move to England.

R Kelly kutoimba tena?


KUNA habari za kusikitisha kwamba, gwiji la nyimbo za R&B, Robert Kelly, maarufu kwa jina la R Kelly hataimba tena ikiwa ni matokeo ya operesheni ya koo aliyofanyiwa Jumatano iliyopita.



Hata hivyo kuna taarifa kwamba, mwanamuziki huyo ameapa kwamba atahakikisha anaendelea kuimba.



R. Kelly has been hospitalized after emergency throat surgery in Chicago, forcing him to give up performing for an unknown period while he recuperates, the singer's spokesman said Wednesday.



Kelly, 44, had complained of throat pain and was rushed on Tuesday to Northwestern Memorial Hospital, where surgeons the same day drained an abscess on one of his tonsils, spokesman Allan Mayer said.



The Chicago native will be "laid up indefinitely" as he heals, he said.



Matatizo yanazidi kumuandama R Kelly, sasa kuna taarifa pia kwamba anadaiwa kodi.



R Kelly has failed to pay $837,000 (£509,505) in federal taxes, it has been revealed.


The 'I Believe I Can Fly' star failed to pay the sum and was faced with a tax lien by the Internal Revenue Service (IRS) filed in the singer's native Chicago, reports The Detroit News.


The amount is said to be separate from the $1,036,858 (£631,163) tax lien against Kelly which the IRS lifted last month.


Kelly has faced multiple financial troubles in recent months.


He was sued last month in LA County Superior Court by his former manager for failure to pay for services rendered.


He is also currently facing a $2.9m (£1.8m) foreclosure suit on his Chicago-area mansion after not paying his mortgage since in June 2010.


Kelly recently underwent an emergency throat operation which will prevent him from singing "indefinitely", though he has vowed to return to performing in the near future.

R Kelly matatani

Grammy-award winning singer-songwriter R. Kelly has failed to make mortgage payments on his multimillion-dollar Chicago-area home for more than a year and now may lose the property to lenders, court documents show.

In a foreclosure action filed in June in Cook County Circuit Court, J.P. Morgan Chase Bank N.A. said that the singer, whose full name is Robert S. Kelly, had not made a monthly payment on the 11,000-square-foot home in Olympia Fields in south suburban Chicago since June 2010.


The suit said the current principal balance on the loan was more than $2.9 million, not including unpaid interest, which accrues at rate of $251 a day.


The original loan issued in 1999 was for $3.5 million, according to the lawsuit, and the monthly payments were $24,345.12.


The property has a number of liens on it, according to the lawsuit, including nearly $2 million from the Department of the Treasury.


The 44-year-old R&B star, who won three Grammy Awards in 1998 for his song "I Believe I Can Fly," is no stranger to controversy.


In 2008 a jury acquitted him of child pornography charges.

Monday, July 25, 2011

Changamoto kwa Serikali ya Kikwete


Rais Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda


Kuna mdau kanitumia hii,


Ili Serikali iweze kuongeza kima cha chini cha mishahara kwanza ipunguze posho na huduma za kulipia watumishi wa ngazi za juu mfano maji, umeme, simu ,nyumba na usafiri.


Wapo watumishi wana mishahara mikubwa halafu maji, umeme, nyumba, simu na usafiri wanalipiwaa na serikali lakini wenye mishahara midogo wanalipa wenyewe maji, simu, umeme, nyumba na usafiri.


Huu ni uonevu usiokubalika kwa nchi inayoongozwa na Serikali inayodai kuwa inajali usawa, inawathamini wanyonge na kupinga unyonyaji.


Na kama haitoshi, fedha wanazotoa wanyonge kulipia huduma hizo ndizo zinazotumika kuwalipa wakubwa posho za safari na vikao.


Hii inaonyesha kuwa pamoja na wakubwa kuwa na mishahara mikubwa bado watu wa mishahara midogo wanawachangia kwa kulipa maji, simu, nyumba, umeme na usafiri. Tafakari!

Mwanamke mzuri ni yupi?

Kwa kawaida vipimo vya uzuri wa mwanamke kwa wanaume vimegawanyika.



Wanaume wengi hupima uzuri wa mwanamke kwa sura au umbo, lakini linapokuja swala la kuoa, suala la tabia na mwenendo hupewa nafasi kubwa.


Na ndiyo maana wakati mwingine unaweza kushangaa kukuta mwanaume ambaye ni hodari wa kuchagua wanawake wazuri, lakini ukija kumuona mke aliyemuoa, utakuta ni mbaya kwa sura na umbo (kwa mtazamo wa wengine), lakini kwa upande mwingine utakuta mke huyo ni mzuri katika maeneo mengine kama vile, tabia nzuri,upendo, wema, na anayemudu malezi ya watoto katika familia.


Sifa nyingine ni zile za kumkubali mwingine kirahisi, kuwa tayari kusaidia yanapojitokeza matatizo katika
familia, mpenda amani na kumfanya mume wake aone kuwa hakukosea kumchagua yeye kuwa mke wake.


Kwa kifupi wanawake wa aina hii hata kama wangekuwa ni wabaya kwa sura na umbo bado (kwa mtazamo wa wengi) wapo kwenye nafasi ya kuonekana kuwa ni wazuri, na huolewa kirahisi zaidi.


Wanawake wazuri kwa sura na umbo ambao tabia na mienendo yao hairidhishi wako kwenye nafasi kubwa ya kuishi bila kuolewa, na kwa bahati mbaya zaidi wanawake wengi wanaohesabika kuwa ni wazuri, tabia na mienendo yao ni ya kutilia mashaka.


Wanaume wengi huvutiwa na wanawake hao kujenga uhusiano nao hasa wa kimwili tu na si vinginevyo, na ndiyo
maana wanawake wazuri kwa sura na umbo wana soko kubwa sana kwa wanaume, lakini huishia 'kuchezewa' a.k.a kutoa uroda tu na si kuolewa.


Wanaume nao kwa upande wao wamejenga dhana kwamba wanawake wazuri sana si wa kuoa na hivyo wanawaogopa.



Wanaamini kwamba,wanawake wazuri sana ni wasumbufu, kitu ambacho kina ukweli kwa kiasi fulani.


Wanaume wanaamini kwamba, wanawake wazuri sana kwa sura na umbo huwasababishia waume zao maradhi ya
moyo,shinikizo la damu na wakati mwingine hata kuwafanya kupata matatizo fulani ya kiakili
Hiyo inatokana na waume hao kuwa katika mashaka ya wake zao kuchukuliwa na wanaume wengine wakati wowote kutokana na uzuri wao.


Hata hivyo wanawake wazuri nao huwaendesha waume zao wakifahamu kuwa ni wazuri na soko lao lipo juu hivyo waume zao nao huwanyenyekea wakihofia kuachwa.


Na ndiyo maana usishangae kuona kuwa wale wanawake ambao watu wamekuwa wakiamini kuwa ndiyo wabaya kwa sura au umbo lakini tabia na mienendo yao ni mizuri ndiyo wanaoolewa na hata ndoa zao zinadumu, tofauti na za
wale wanaoonekana kuwa ni wazuri sana kwa sura na umbo na ambao tabia na mienendo yao si mizuri, ndoa zao
hazina umri mrefu.



Ni mtazamo tu, kwako ipo vipi?

USALITI

Jamaa ana mpenzi, wakiwa pamoja na wanavyoelezana ni kuwa wanapendana kiukweli kiasi kwamba hata passwords za bank cards,na za e-mail wamepeana.


Wameahidiana kuwa hawatasalitiana milele kamwe!


Wapenzi hawa wana ujuzi wa kutumia mitandao ya kijamii, siku moja wakajikuta wanachati kwenye thread wakitumia majina ya bandia.


Na kila mmoja hakujua anachat na nani na ikafika point wakakubaliana wawe wapenzi kwa sababu, kila mmoja alimwambia mwenzake kuwa alikuwa single.


Mambo yakaendelea, wakirudi home kila mtu akijifanya mtakatifu, wakaoneshana mapenzi motomoto.


Wakiachana kwenda kazini kila mmoja akawa anachat na 'mpenzi mpya' na wakakubaliana kwamba umefika muda wakutane na 'kufahamiana zaidi'.


Mwanaume akampa location mwanamke kwamba akae sehemu tax itakuja kumchukua na kumpeleka hotelini, na atamwambia yupo chumba gani.


Siku ya 'uzinduzi' a.k.a kukata utepe ikawadia, mdada akaenda alipoelezwa, tax ikaenda kumchukua kumpeleka kwa 'mpenzi mpya'.


Gari likafika hotelini, dada akapelekwa kaonyeshwa chumba,kagonga mlango, ukafunguliwa................guess what happened!!!!!


Niambie nini kiliendelea hapo, kama ni kesi itapelekwa mahakama gani?

Sunday, July 24, 2011

Buriani Danny Mwakiteleko

ALIYEKUWA Mhariri Mkuu wa Gazeti la Rai, Danny Mwakiteleko (45) amefariki dunia.


Mwakiteleko pia alikuwa Mhariri Mtendaji Msaidizi wa kampuni ya New Habari Corporation Limited, ya Dar es Salaam.


Aliaga dunia jana alfajiri katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (Moi), Dar es Salaam, anatarajiwa kuzikwa kijijini kwao Rugombo, Mwakaleli mkoani Mbeya.


Mwili wa marehemu utaagwa nyumbani kwake Tabata, Chang’ombe, kesho Jumatatu na utasafirishwa, atazikwa Jumanne.


Mwakiteleko alipata ajali ya gari alilokuwa akiendesha aina ya Nadia, lililopamia tela la lori katika Barabara ya Nelson Mandela, Dar es salaam usiku wa kuamkia Jumatano.


Wasamaria wema walimkimbiza Hospitali ya Amana, baadaye alihamishiwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili.


Kwa mujibu wa madaktari, Mwakiteleko alipata majeraha makubwa kwenye paji la uso, Jumatano alifanyiwa upasuaji na kuendelea kuwa katika hali ya kukosa fahamu katika chumba cha Wagonjwa wanaohitaji Uangalizi Maalumu (ICU).


Rais Jakaya Kikwete alikuwa mmoja wa watu waliofika kumjulia hali juzi hospitalini hapo.


Mwakiteleko alizaliwa Novemba 1966 Rugombo, alipata elimu yake ya msingi Tunduma, kabla ya kujiunga na sekondari ya Iyunga, Mbeya na kisha sekondari ya juu Mzumbe mkoani Morogoro.


Alijiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) mwaka 1988 Operesheni Miaka 25, kwa mujibu wa sheria na kisha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.


Baada ya kuhitimu mafunzo yake ya Chuo Kikuu mwaka 1993, alijiunga na gazeti la Tanganyika Leo akiwa mwandishi wa habari ambalo alikaa nalo kwa muda kabla ya kujiunga na Habari Corporation na kisha kuhamia Business Times Limited (BTL). Aidha alikuwa ni mmoja wa waasisi wa kampuni ya Mwananchi Communications ambao ni wachapishaji wa gazeti la Mwananchi ambako alifanya kazi kwa miaka saba.


Wakati akifanya kazi Mwananchi alihamishiwa kwa muda Nation Group ya Kenya ambako alifanya kazi hadi yalipotokea machafuko baada ya uchaguzi mwaka 2008.


Aliporejea nchini alijiunga na New Habari Corporation, akiwa Mhariri wa Mtanzania na kisha wa Rai hadi mauti yanamkuta.


Mwakiteleko ameacha mjane, Winifrida na watoto Caro (13) na Vanessa (11). Mungu ailaze roho ya Mwakiteleko mahala pema peponi, Amina.

Friday, July 22, 2011

Waziri aliyetekwa aachiwa

Islamist rebels in Somalia have set free a newly appointed female cabinet minister after she was seized, a government official said Friday.


Asho Osman Aqiil, who was on Wednesday named as Minister for Women and Family Affairs in the new cabinet line-up of Prime Minister Abdiweli Mohamed Ali's government, was kidnapped from her home by heavily armed fighters from Al Shabaab group in the rebel- controlled town of Balad, 30 km north of the Somali capital Mogadishu.


"They ( Al Shabaab commanders) let her go because she told them that she was not aware of the appointment and that she did not want to take the post," Mowlid Maane, a lawmaker who is from the same Middle Shabelle region as Aqil, told Xinhua.


Maane, who expressed surprise that Aqiil was named minister while she was still in Al Shabaab controlled area, said that she was not harmed and that she was staying at her home in the town where Islamist rebels have been in control of the past three years.


Aqiil, a mother of nine, is reported to have lived in the insurgent-run town for several years. She was travelling to Mogadishu when Islamist rebels seized her near her home.


The Islamist rebel group of Al Shabaab has not commented on the kidnapping of the Somali minister but the group is known to target senior government officials in the past.


Somali Prime Minister Abdiweli Mohamed Ali on Wednesday announced his new 18-member cabinet which mostly comprise of technocrats who have not been known in Somali politics.


The Somali parliament is expected to vote on the cabinet in the next few days.


The new Somali government is expected to face huge challenges as the country is suffering severe drought and famine in the south while battling Islamist insurgency.


The Somali government controls only parts of the capital while Islamist rebels run much of south and center of the war-torn country.


The government has one-year term to fulfill a number of transitional tasks including the drafting of a new constitution for the country to complete the reconciliation process.

Waziri atekwa


Wapiganaji wa kikundi cha Al-Shabab wamemteka Waziri mpya katika Serikali ya Somalia saa chache tu baada ya kuteuliwa.


Waziri huyo mwanamke, Asha Osman Aqiil (32), aliteuliwa Jumatano kuwa Waziri wa Wanawake na Mambo ya Familia, akatekwa jana Alhamisi jirani na nyumbani kwake.


Kuna taarifa kwamba, Waziri huyo mjane alitekwa wakati anakwenda kuhudhuria kikao cha kwanza cha Baraza jipya la Mawaziri.


Miaka miwili iliyopita, wapiganaji wa kiislamu walimuua mumewe kwa kumpiga risasi nchini humo.


Soma hapo chini


Somali Islamist al-Shabab militants have kidnapped the country's women's minister, a further indication the impoverished nation's fast descend into anarchy and political chaos, reports said on Thursday.


The 32-year-old Asha Osman Aqiil, a former woman activist turned politico, was kidnapped by armed men in the town of Balad, north of Somalia's capital, Mogadishu. Aqiil's abduction comes barely a day after she had been named Minister for Women and Family affairs.


Aqiil is the lone woman in the 18-member cabinet unveiled by Prime Minister Abdiwali Mohamed Ali on Wednesday. She was kidnapped while on her way to attend her first cabinet meeting.


She had endured personal tragedy two years back after her husband was shot dead by Islamist insurgents.

Her kidnapping has led to fresh security concerns among aid agencies engaged in food distribution in the impoverished nation. On Wednesday, the UN formally declared that Somali was experiencing a famine.


The kidnapping has invited severe condemnation from female rights activists who vowed to do what they can to secure women's rights.


Al-Shabab with ties to al-Qaeda terror outfit seeks to overthrow the Somali government and impose an Islamic government in the country. The outfit has been designated a terrorist outfit by the US and several other countries.


The African nation has not had a functional government since the ouster of Mohamed Siad Barre in 1991 and its current Sheikh Sharif Sheik Ahmed government's influence is limited to certain pockets of Mogadishu.

Jairo yupo likizo, anachunguzwa

David Jairo
Barua iliyomponza Jairo

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo, amepewa likizo kuanzia leo ili Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali amchunguze.

Katibu Mkuu Kiongozi, Phillemon Luhanjo, alisema jana mjini Dodoma kwamba, tuhuma zinazomhusu Jairo ni za fedha, na kwamba, CAG kapewa siku 10 achunguze Jairo.

Luhanjo amesema, ndani ya siku kati ya mbili na tatu, atakuwa amemteua mtu wa kukaimu nafasi ya Jairo.


Amesema, wakati Jairo akiwa likizo hiyo ya lazima atalipwa mshahara kama kawaida.

Luhanjo amesema, tuhuma dhidi ya Jairo ni nzito na imemlazimu kuamua aende likizo licha ya kwamba Sheria namba 8 ya mwaka 2002 na kanuni zake za utumishi wa umma za mwaka 2003, inaruhusu mtuhumiwa kuendelea na kazi wakati uchunguzi ukifanywa.

Amesema, tuhuma zinazochunguzwa ni zilizotolewa na baadhi ya wabunge wakati wakichangia hotuba ya Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini.

Jairo anatuhumiwa kuzitaka taasisi, vitengo na idara zilizo chini ya wizara hiyo, zichangie Sh milioni 50 kila moja, ili fedha hizo zitumike kulipa wabunge na kufanikisha mawasilisho ya makadirio hayo.

Tuhuma zingine ni za kulipa masurufu ya safari watumishi walio chini ya wizara hiyo na taasisi zake, ambao tayari walishalipwa na wizara na taasisi hizo.

“Hataendelea na kazi kipindi cha uchunguzi. Hatua zaidi zitategemea uchunguzi huo wa awali… nimeamua niseme, msianze kubashiri, kwamba tunamsubiri Rais aliyemteua, mimi ndiye mwenye mamlaka … nikipata taarifa ya uchunguzi wa awali, nitampa notisi ya matokeo ya awali,” Luhanjo aliwaambia waandishi wa habari.

Luhanjo alisema kulingana na Sheria namba 8 ya mwaka 2002 na kanuni zake za utumishi wa umma za mwaka 2003, mwenye mamlaka ya nidhamu kwa mtumishi yeyote wa umma anayeteuliwa na Rais kasoro wanasiasa, mawaziri na wakuu wa mikoa, ni Katibu Mkuu Kiongozi.

Alisema katika kushughulikia tuhuma zinazomkabili mtumishi wa umma, lazima uchunguzi wa awali ufanyike kwa mujibu wa kanuni za utumishi wa umma, ili kubaini kama mtumishi husika ametenda kosa la kinidhamu.


“Katika kipindi cha uchunguzi, mtumishi anayetuhumiwa, anaweza kupewa likizo ya malipo ili kupisha shughuli za uchunguzi au akaruhusiwa kuendelea na kazi wakati uchunguzi ukifanywa,” alisema Luhanjo.

Alifafanua kwamba kama uchunguzi wa awali dhidi ya Jairo, utabaini makosa ya kinidhamu, Mamlaka ya Nidhamu itampa taarifa za tuhuma ambazo zitaambatana na hati ya mashitaka, itakayoelezea kwa ufupi kosa alilotenda na ni lini anapaswa awe amejibu tuhuma husika.

Mtuhumiwa anapaswa asimamishwe kazi na kulipwa nusu mshahara.

“Mtuhumiwa atatoa maelezo yake kwa mujibu wa hati ya mashitaka aliyopewa. Anaweza kukataa au kukubali. Akikubali, Mamlaka ya Nidhamu itaendelea kutoa adhabu kulingana na uzito wa kosa. Adhabu inaweza kuwa kufukuzwa kazi, kupunguzwa cheo au kupunguzwa mshahara ama adhabu nyingine iliyoelekezwa na Sheria ya Utumishi wa Umma.

“Iwapo atakana mashitaka, Mamlaka ya Nidhamu itaunda Kamati ya Uchunguzi itakayopewa hadidu za rejea ambazo pamoja na mambo mengine, zitaeleza muda wa uchunguzi huo
kukamilika. Taarifa ya Kamati itawasilishwa kwa Mamlaka hiyo, ikiwa na mapendekezo. Ikumbukwe kuwa Kamati hii haitoi adhabu kwa mtuhumiwa isipokuwa inatoa mapendekezo tu,” Luhanjo alisisitiza.

Baada ya taarifa ya Kamati ya Uchunguzi, Luhanjo alisema Mamlaka itaendelea kutoa adhabu kwa mujibu wa mapendekezo ya Kamati hiyo. Kama adhabu itakuwa ni kuvuliwa madaraka, Mamlaka ya Nidhamu itawasiliana na Mamlaka ya Uteuzi kuhusu kutekeleza suala hilo.

Hata hivyo, Luhanjo alisema iwapo mtuhumiwa hajaridhika na uamuzi unaoishia kwa Mamlaka ya Nidhamu, sheria zinampa fursa ya kukata rufaa kwa Rais. “Rais ana mamlaka ya kuthibitisha au kukataa uamuzi wa Mamlaka ya Nidhamu,” alisema.

Tuhuma dhidi ya Jairo ziliibuliwa Julai 18 bungeni na Mbunge wa Kilindi, Beatrice Shelukindo (CCM).

Yanga shangwe bungeni Dodoma

DAKIKA chache zilizopita, kulikuwa na 'kituko' cha aina yake bungeni mjini Dodoma baada ya mmoja wa wabunge kuomba mwongozo wa Mwenyekiti wa Bunge, George Simbachawene, na kuhoji kwamba, timu ya Simba ya Dar es Salaam imechukua kombe la Kagame mara 6, Yanga imetwaa kombe hilo mara 4 tu, kwa nini wenzao (Yanga) waitwe bungeni wakati Simba haijawahi kuitwa hata mara moja?


Simbachawene kamjibu kwamba, mwongozo wake ni kuwa, Yanga ndiyo mabingwa wa ligi Kuu Tanzania bara, na ni mabingwa wa kombe la Kagame, na siku ya fainali, yanga iliifunga Simba bao moja.


Mbunge huyo wa Kibakwe mkoani Dodoma aliuliza kama aliyepiga krosi iliyozaa bao alikuwa hapo bungeni mjini Dodoma pamoja na wachezaji wengine wa Yanga, akasema safi sana, kauliza pia kama mfungaji wa bao hilo, Keneth Asamoah alikuwepo, akasema safi sana.


Baada ya kusema hayo, Mwenyekiti huyo wa Bunge aliagiza shughuli za Bunge ziendelee, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe akasimama kusoma bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2011/2012.


Wakati anaanza kusoma bajeti hiyo, Membe, alisema, anafichua siri leo kuwa na yeye ni mpenzi mkubwa wa Yanga, kawapongeza kwa kutwaa kombe la Kagame.

Thursday, July 21, 2011

Pinda- Serikali haijashindwa kumaliza mgawo

Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Ikulu ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma, muda mfupi baada ya mtoto huyo wa mkulima kuapishwa kumrithi Edward Lowassa katika madaraka hayo.



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, leo amelieleza Bunge kuwa, Serikali haijashindwa kumaliza tatizo la mgawo wa umeme.



Pinda ametoa msimamo huo wakati anajibu maswali ya papo hapo bungeni mjini Dodoma.



Mgawo wa nishati hiyo muhimu limekuwa ni tatizo sugu kwa miaka kadhaa sasa na kwa mujibu wa Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, unatarajiwa kwisha baada ya miezi 18 kuanzia sasa.


Pinda amewaeleza wabunge kuwa, si kweli kuwa Serikali imeshindwa kumaliza mgawo wa umeme, inahitaji muda, na ikishindwa iumbuliwe bungeni.



Wakati wakichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini, wabunge walisema, wamechoka kusikia orodha ya miradi ya kuzalisha nishati hiyo, wanataka umeme.



Tatizo la umeme lilisababisha Edward Lowassa ajiuzulu uwaziri mkuu mwaka 2008, kwa sababu ya kashfa ya Richmond.



Waziri Ngeleja anashinikizwa ajiuzulu kwa madai kuwa Wizara imemshinda, amekataa.

Pinda- Kumsubiri Kikwete si kuvunja Katiba

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda, leo amelieleza Bunge kuwa, hakuvunja Katiba kwa kuamua kumsubiri Rais Jakaya Kikwete arudi nchini kumchukulia hatua Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo.


Jairo aliandika barua ya kukusanya Sh. milioni 50 kutoka kila idara za wizara hiyo ili ziwezeshe kupitishwa kwa bajeti ya wizara hiyo.

Pinda amewaeleza wabunge kuwa, ni kweli kuwa wakati tuhuma hizo zinazoashiria wabunge kuhongwa zilipotolewa bungeni Rais hakuwepo, Makamu wa Rais, alikuwepo, lakini unapokaimu urais huwezi kufanya uamuzi kadri unavyojisikia.


Waziri Mkuu amesema, unapokaimu urais unakuwa na mipaka ya kufanya uamuzi, na kwamba, maana ya kukaimu madaraka hayo ni kurahisisha mawasiliano na mkuu wa nchi katika utekelezaji wa majukumu ya kuiongoza serikali.


Pinda alisema jana kuwa, alimjulisha Rais Kikwete mambo yaliyotokea Jumatatu bungeni kuhusu mjadala wa Makadirio na Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini ambapo baadhi ya wabunge walitaka Jairo aondolewe.


“Amenijibu kuwa ‘sawa, nisubiri nitakaporudi Afrika Kusini tuone tunafanyaje’,” alisema Pinda nje ya ukumbi wa Bunge akimnukuu Rais Kikwete.


Jumatatu wakati wa mjadala wa makadirio hayo, wabunge waliibua kashfa wakituhumu wizara hiyo kuchangisha Sh bilioni moja kutoka idara na taasisi zake kwa ajili ya kufanikisha uwasilishaji wa makadirio hayo.


Mbunge wa Kilindi, Beatrice Shelukindo (CCM), aliibua sakata hilo wakati akichangia hotuba ya Makadirio hayo kabla hayajaondolewa bungeni.


Shelukindo aliwasilisha barua bungeni iliyoandikwa na Jairo ikizitaka idara na taasisi zote za wizara hiyo, kila moja ichangie Sh milioni 50 kwa ajili ya kukamilisha maandalizi ya uwasilishaji wa hotuba ya bajeti.

Mbunge wa Simanjiro, Christopher ole Sendeka (CCM), na Shelukindo, kwa nyakati tofauti, walihoji bungeni mantiki ya fedha hizo, takribani Sh bilioni moja na wakataka wizara ifafanue zimekusanywa kwa ajili gani.


Pinda alikiri kwamba Jairo aliudhi na kutibua wabunge ana aliahidi kumjulisha Rais Kikwete ili achukue hatua.


“Lazima nikiri hata mimi nilishtuka sana tena si kidogo, kwani suala hili limegubikwa na maswali mengi hakuna namna ya kutetea,” alisema.

Wednesday, July 20, 2011

Saa ya Christiano Ronaldo

He's a Portuguese footballer currently on tour on the west coast of America with a Russian girlfriend who's based in New York.


So it's perfectly reasonable for Cristiano Ronaldo to purchase a snazzy new watch which displays four different time zones.


The Real Madrid star was pictured with the luxury timepiece attached to his wrist as he headed into training in Los Angeles.

Rihanna aomboleza kifo cha shabiki wake

Mwanamuziki maarufu, Rihanna, ameomboleza kifo cha shabiki wake aliyekufa kwenye ajali ya gari wakati anasikiliza wimbo wa msichana huyo mwenye umri wa miaka 23.


Shabiki huyo aliyetajwa kwa jina la Karen alikuwa na umri wa miaka 17, alikufa jana na alikuwa shabiki mkubwa wa Rihanna.


Rihanna has paid tribute to a young fan who died in a car accident as she was listening to the Bajan singer’s music.


The 17-year-old known only as Karen, who ran a Twitter fan page for the singer, died on Tuesday in a fatal car accident.


The singer was told by Karen’s friend Anderson that the teenager had died in a car crash and was listening to Rihanna at the time.


The 23-year-old singer paid tribute to her fan and tweeted: ‘One of my biggest RihannaNavy fans died today in a car accident!!! Gone but never EVER forgotten!!!! She was only 17 #DearKaren’

Karen’s friend Anderson who helps to update the @RihannaSpanish page tweeted: ‘Karen's parents told me that she died listening "The Last Song" off Rated R.’


The 17-year-old girl was said to be listening to Rihanna's music when she died. The singer seen leaving her hotel in New York before learning the news


Other Rihanna fans have paid tribute to the teenager and Rihanna has retweeted a number of the messages on her page.

Swaga za Lady Gaga

Lady Gaga akitoka kutumbuiza night club


Lady Gaga akiwa na mpenzi wake, Luca Car (wa kwanza kushoto) , jijini Manhattan nchini Marekani.Lady Gaga amesema, amewahi kutumia dawa za kulevya lakini kwa sasa hatumii.

Majina ya watoto wa Beckham kwenye viatu

Mwanasoka maarufu Uingereza na anayeaminika kuwa ndiye mwenye kipato kikubwa zaidi duniani hivi sasa, David Beckham anazidi kuonesha manjonjo yake kwa kuandika majina ya wanawe wanne katika viatu anavyotumia kucheza soka.

Hivi karibuni, mtaalamu huyo wa mipira ya adhabu alionekana akiwa amevaa viatu vyenye majina ya mtoto wake wa kwanza, Brooklyn (12), Romeo (8), Cruz (6) na mwanawe pekee wa kike, Harper Seven mwenye umri usiozidi wiki moja.


David Beckham has had the names of his four children etched into his football boots.


The LA Galaxy player, who welcomed daughter Harper Seven with wife Victoria earlier this month, was photographed with the names of 12-year-old Brooklyn, 8-year-old Romeo, 6-year-old Cruz and 1-week old Harper in gold writing on the side of his shoe during a recent match.


David has described his new baby as "stunning", saying that the child is a mixture of himself and Victoria.


He has also pledged to be a more "delicate" father to his daughter, saying that he is "so lucky" to have a little girl.


David and Victoria are said to have decided that Harper will be their last child and they have no plans to expand their family further.