Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete
akiwasalimia wananchi waliofika katika viwanja vya Uhuru jijini Dar es
Salaam kushuhudia sherehe za miaka 49 ya Muungano. (Picha na Ikulu)
Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete
akikagua gwaride la heshima wakati wa sherehe za miaka 49 ya Muungano
kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
Kiapo cha utii kwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete
You actually make it seem so easy along with your
ReplyDeletepresentation but I in finding this topic to be actually something which I think I would never understand.
It seems too complicated and very extensive for me. I'm taking a look ahead to your next publish, I'll attempt to get the hang
of it!
My site; chloe バッグ