Friday, April 26, 2013

Sherehe za miaka 49 ya Muungano


 Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi waliofika katika viwanja vya Uhuru jijini Dar es Salaam kushuhudia sherehe za miaka 49 ya Muungano. (Picha na Ikulu)
 Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete akikagua gwaride la heshima wakati wa sherehe za miaka 49 ya Muungano kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
 Jeshi la Wanamaji (Navy)
 Kiapo cha utii kwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete

1 comment:

  1. You actually make it seem so easy along with your
    presentation but I in finding this topic to be actually something which I think I would never understand.
    It seems too complicated and very extensive for me. I'm taking a look ahead to your next publish, I'll attempt to get the hang
    of it!

    My site; chloe バッグ

    ReplyDelete