Friday, April 26, 2013

Maonesho ya ndege za kivita kwenye za Muungano


 Ndege za kivita zikifanya maonesho katik sherehe za Miaka 49 ya Muungano jijini Dar es salaam leo Zenye rangi ya njano zinazomwaga rangi za bendera za Taifa ni ndege za mafunzo na zingine za kijivu ni za kivita. 
Picha na Blog ya HabariMseto

No comments:

Post a Comment