Thursday, October 9, 2014

Kikwete akabidhiwa Katiba

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akikabidhi  Katiba Inayopendekezwa kwa Rais Jakaya Kikwete katika uwanja wa Jamuhuri mjini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt.Mohamed Ali Shein wakiwa na Katiba Inayopendekezwa.

No comments:

Post a Comment