Thursday, October 9, 2014

Halima Mdee baada ya kutoka Segerea

“Walifikiri kunilaza Segerea siku moja wamenikomesha, nimekula bata ambayo sijawahi kula, na walioamua kuficha barua za dhamana wajue kama tulikuwa tunachechemea sasa tunakimbia”.

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee.

No comments:

Post a Comment