Hapa wakiwa chini ya ulinzi wa polisi kabla ya kuingia katika moja ya ukumbi katika Mahakama ya Kisutu, Dar es Salaam.
Wamesomewa mashitaka zaidi ya 20 yakiwemo ya kuharibu, kuiba mali za makanisa eneo la Mbagala jijini humo.
Washitakiwa mahakamani.
Washitakiwa wanawake katika kesi hiyo wakielekezwa kuingia kwenye ukumbi wa mahakama.
Baadhi ya washitakiwa hao wakipanda basi la polisi kurudi mahabusu baada ya kumalizwa kutajwa kwa kesi yao.
Kwa hisani ya blog ya mseto
No comments:
Post a Comment