Maofisa wa Jeshi la Polisi wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa
aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow kulipeleka katika Kanisa Katoliki la Ukonga jijini Dar es Salaam.
(Picha zote na Joseph Senga)
Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Ukonga,
Stephano Nyalawila akiongoza ibada ya kumwombea aliyekuwa Kamada wa
Mkoa wa Mwanza, marehemu Liberatus Barlow, iliyofanyika kanisani hapo.
Mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange akitoa ubani kwa mke wa marehemu RPC Barlow
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP, Said Mwema akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa
Mwanza, Liberatus Barlow.
No comments:
Post a Comment