Mkazi
wa kitongoji cha Kipamba kata ya Mwangeza ambaye amekataa kutaja jina
lake akiwa kwenye nyumba anapoishi na familia yake.
Mkazi
wa kitongoji cha Kipamba kata ya Mwangeza wilaya ya Iramba ambaye
hakuweza kujulikana jina lake akiomba alipwe fedha za kumpiga
picha.
Picha na blog ya Singidayetu
No comments:
Post a Comment