MSANII nyota wa filamu nchini, Steven Kanumba amefariki dunia kutokana na tatizo la mtikisiko wa ubongo linalojulikana kitalaamu kama Brain Concussion, taarifa za kitabibu zimeeleza.
Baba mzazi azungumza Baba mzazi wa mwigizaji huyo, Charles Musekwa Kanumba alisema kwamba alipata taarifa za kifo cha mwanawe Jumamosi saa 10:00 alfajiri baada ya kupigiwa simu na dada wa marehemu, Sara Kanumba.
Taarifa hizo za ndani, zilizopatikana jana baada ya jopo la madaktari bingwa watano wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kuufanyia uchunguzi mwili wa marehemu huyo, zimeeleza kuwa tatizo hilo linaweza kumfanya mtu apoteze maisha mara moja au baada ya siku kadhaa.
Mmoja wa madaktari hao ambaye aliomba jina lake lisitajwe gazetini alisema waligundua tatizo hilo baada ya kumfanyia uchunguzi huo kwa zaidi ya saa mbili.
“Tulianza kuufanyia uchunguzi mwili wa marehemu kuanzia saa 4:00 asubuhi hadi saa 6:45 mchana na tukagundua kuwa marehemu alifariki kutokana na mtikisiko wa ubongo kwa kitaalamu, Brain Concussion,” alisema daktari huyo.
Alisema Kanumba alipata mtikisiko wa ubongo ambao husababisha kufeli kwa mfumo wa upumuaji (cardio-respiratory failure)
“Kilichomuua hasa ni mtikisiko wa ubongo, ambao endapo unatokea katika sehemu ya nyuma ya ubongo (cerebrum), huua kwa haraka” alisema daktari huyo na kuongeza kuwa mtikisiko wa ubongo wa nyuma, husababisha matatizo ya mfumo wa upumuaji na hilo limeonekana katika mwili wake.
“Baada ya ubongo wake kutikiswa kwa nguvu, mfumo wa upumuaji ulifeli na ndiyo maana tumekuta kucha za Kanumba zikiwa na rangi ya bluu, huku mapafu yake yakiwa yamevilia damu na kubadilika kuwa kama maini, hizo ndizo dalili za kufeli kwa mfumo wa upumuaji.”
“Mtu aliyepata mtikisiko wa ubongo huweza kutokwa na mapovu mdomoni na hukoroma kabla ya kukata roho na ndivyo ilivyokuwa kwa Kanumba kabla hajafariki.”
Daktari mwingine aliyeshiriki katika uchunguzi huo ambaye pia aliomba jina lake lisitajwe alisema ubongo wa mwigizaji huyo ulikuwa umevimba na kushuka karibu na uti wa mgongo na hivyo kuathiri mfumo wa upumuaji.
Alisema sehemu ya maini na majimaji ya machoni ya marehemu, vimepelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali ili kubaini endapo kuna sumu au kitu kingine katika mwili huo.
Baba mzazi azungumza Baba mzazi wa mwigizaji huyo, Charles Musekwa Kanumba alisema kwamba alipata taarifa za kifo cha mwanawe Jumamosi saa 10:00 alfajiri baada ya kupigiwa simu na dada wa marehemu, Sara Kanumba.
“Sara aliniuliza: ‘Una taarifa yoyote kuhusu mwanao Kanumba?’ Nikamjibu kuwa sina taarifa yoyote, ndipo aliponieleza habari za kifo hicho. Aliniambia Kanumba hatupo naye tena amefariki kwa kuanguka, amekorofishana na mpenzi wake.” alisema taarifa hizo zilimsababisha aishiwe nguvu kwa kuwa kilikuwa kifo cha ghafla…
“Basi kuanzia hapo, nilianza kupigiwa simu za kupewa pole, ndipo nilipoamini kumbe mwanangu amefariki.”
Akizungumzia kuchelewa kufika msibani, alisema kumetokana na tatizo la mawasiliano. Awali, alikuwa amepanga mtoto wake Kanumba akazikiwe Mwanza kwa babu yake ndiyo maana hakufika mapema msibani.
“Nilikuwa nimepanga apitishwe hapa kwangu Shinyanga aagwe, halafu tumpeleke Mwanza kwa babu yake kumzika huko lakini alipokuja mama yake alinishauri kuwa huko kutakuwa na nafasi ndogo kwa sababu watu ni wengi pia alikuwa na marafiki wengi, wengine wa kutoka nje ya nchi kwa hiyo alinishawishi na tukakubaliana kumzika Dar es Salaam,” alisema.
Pia alikanusha uvumi kuwa hajafika msibani kwa kuwa walikuwa na ugomvi na marehemu akisema walishamaliza tofauti zao.
Alisema anatarajia kufika leo usiku tayari kushiriki mazishi hayo.
Chanzo: Blog ya WatanzaniaOslo
Hmm it appears like your site ate my first comment (it was extremely long) so I guess I'll just sum it up what I submitted and say, I'm thoroughly enjoying your blog.
ReplyDeleteI too am an aspiring blog writer but I'm still new to the whole thing. Do you have any suggestions for novice blog writers? I'd really appreciate it.
My site Swimming Tips
Greetings! I've been following your weblog for a while now and finally got the bravery to go ahead and give you a shout out from Houston Tx! Just wanted to tell you keep up the good work!
ReplyDeleteAlso visit my site ; parfum
I have been surfing on-line greater than three hours nowadays, but I by no
ReplyDeletemeans discovered any attention-grabbing article like yours.
It's beautiful price enough for me. In my opinion, if all site owners and bloggers made just right content as you probably did, the web will be much more helpful than ever before.
Also visit my weblog :: kozmetika
I usually do not comment, but I browsed through a few responses on this page
ReplyDelete"Uchunguzi wabainisha kilichomuua Kanumba". I do have a few questions for you if it's okay. Could it be only me or does it give the impression like a few of the remarks appear like they are left by brain dead people? :-P And, if you are writing on other sites, I would like to keep up with you. Would you make a list of the complete urls of all your social pages like your twitter feed, Facebook page or linkedin profile?
my web page :: Prescription Safety Glasses
This post offers clear idea for the new visitors of blogging, that truly how to do blogging.
ReplyDeleteHave a look at my webpage :: Outdoor Thermometer
We're a group of volunteers and starting a new scheme in our community. Your site offered us with valuable info to work on. You have done a formidable job and our whole community will be grateful to you.
ReplyDeleteHere is my web site :: Prescription Swimming Goggles
great points altogether, you simply received a logo new
ReplyDeletereader. What might you suggest about your post that you
just made some days ago? Any certain?
my web blog: descargar ares
I'm not sure where you are getting your info, however great topic. I must spend a while finding out much more or understanding more. Thank you for excellent information I was on the lookout for this info for my mission.
ReplyDeletemy web site - this youtube.com video emusic review
Hi i am kavin, its my first occasion to commenting anyplace, when i read this piece of writing i thought i could also create
ReplyDeletecomment due to this good piece of writing.
my blog video quest bar review
I like what you guys are up too. This sort of clever work
ReplyDeleteand reporting! Keep up the fantastic works guys I've added you guys to blogroll.
Here is my web page :: quest bars review
Incredible! This blog looks just like my old one!
ReplyDeleteIt's on a totally different subject but it has
pretty much the same layout and design. Great choice of colors!
Feel free to surf to my blog :: buy quest bars watch
Pretty! This was an extremely wonderful post.
ReplyDeleteThank you for providing this info.
Also visit my page ... quest bars