
Inadaiwa kuwa, watu wameanza kuvunja uzio kuingia katika eneo la makaburi hayo na wameanza kukanyagana.
Polisi na vikosi vingine vya usalama wanaombwa kufika eneo hilo kulinda usalama wa raia na mali zao.
Msafara uliobeba mwili wa Steven Kanumba upo njiani kwenda eneo hilo kutoka viwanja vya Leaders.
Inadaiwa kuwa, watu waliofurika viwanja vya Leaders hawajafika eneo la makaburi hivyo haijulikani hali itakuwa vipi kama na wao watakwenda kumzika msanii huyo maarufu.
No comments:
Post a Comment