Friday, November 25, 2011

Nukuu ya leo

“Nilijiuzulu kuwajibika kwa ajili ya kuilinda Serikali yangu na kwa heshima ya chama changu, sasa kwanini leo nahukumiwa kwa jambo hili, tena natukanwa na wana CCM wenzangu na siyo wapinzani nchi nzima kwamba mimi eti fisadi?,”alihoji Lowassa jana wakati wa kikao cha NEC mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment