Friday, July 15, 2011

Wema, Diamond






PICHA hizo zinazodaiwa kuwa ni Wema na Diamond zipo kwenye blog mojawapo Tanzania na zimechapishwa katika gazeti mojawapo maarufu la kila wiki Tanzania lililoingia mtaani leo.


Katika blog hiyo kuna picha nyingine mbili ambazo, kwa mtazamo wa kawaida tu, ni 'mbaya' kimaadili kuliko hizo za hapo juu.


Ukipenda kuona picha zaidi click hapa

No comments:

Post a Comment