Friday, July 15, 2011

Mahawara wafungwa mwezi mmoja jela

NI mke wa mtu, mumewe alisafiri, akawa huru kucheza mechi za kirafiki a.k.a nje cup, a.k.a kufanya uzinzi kama si kumsaliti mumewe kwa kujirusha na hawara.


Mbaya zaidi, mwanamke huyo nchini Bangladesh alidiriki kutoka usiku na kumuacha nyumbani mwanawe mwenye umri wa miaka minne,akaenda kula malavidavi na hawara huyo anayefanya kazi katika kampuni ya ujenzi.


Wakati akiwa huko kwenye starehe zake, mtoto huyo aliamka, akaenda dirishani akawa analia kwa sauti, ilikuwa takribani saa saba usiku, majirani walienda lakini walishindwa kufungua mlango.


Majirani walipiga simu Polisi, wakati Polisi na majirani wakiwa hapo nje ya nyumba ya wanandoa hao, hawara akamrudisha mwanamke huyo kwa gari la kampuni ya ujenzi ya Emirate, wote wakawekwa chini ya ulinzi.


Mwanamke huyo alipoulizwa kwa nini alimuacha mtoto usiku peke yake alijetetea kwamba alikwenda nyumbani kwa mama yake, sanjari na kununua muda wa maongezi kwa ajili ya simu yake ya mkononi.


Walishitakiwa kwa kosa la kuhatarisha maisha ya mtoto huyo, wote wamefungwa mwezi mmoja jela.


soma hapo chini


A Bangladeshi woman allegedly left her four-year-old daughter alone at home to spend time with her lover.


The Ras Al Khaimah Criminal Court of First Instance has sentenced a couple to one month in jail followed by deportation for having an illicit relationship and putting the four year old's life in danger, a judicial official said.


The official said the Bangladeshi woman is married to an Emirati man.


"The little daughter was standing on the window and crying loudly around 1 am. Neighbours heard the voice of the child and rushed out to see what happened to the child," said the official.

The neighbours tried to open the door but all their attempts failed so they called police. The police patrol reached the house and secured the child.


Meanwhile, the mother also arrived with another man in a car belonging to a contracting company in the emirate, the official added.

When the police asked the mother why she left the child alone in the house at late night, she replied that she went to her mother's house and also bought some recharge card for her mobile phone, the official said.


The child's father works in another Emirate and was not home, the official said.


The police arrested both the mother and the man who came with her in the car.


They were taken to the police station where it was revealed during the investigation that the man was working as a driver in a contracting company and had an illicit relationship with the woman.

No comments:

Post a Comment