Wednesday, May 25, 2011

Rais Obama Uingereza

Mke wa Rais wa Marekani, Michelle Obama, akiwa na mke wa Mjukuu wa Malkia wa Elizabeth wa Uingereza, Prince William, Katherine.

Mke wa Rais wa Marekani, Michelle Obama


Rais Obama akimbusu mke wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Sam Cameron

Rais Barack Obama, mkewe, Michelle, wakiwa na Malkia Elizabeth wa Uingereza, na mumewe, Prince Philips.

Rais Barack Obama wa Marekani akisalimiana na Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron.


Nyuma ya Waziri Mkuu ni mkewe, Sam, kushoto kwa Obama ni mkewe, Michelle.


Obama na Michelle jana walianza ziara Uingereza ikiwa ni sehemu ya ziara ya siku 6 ya Obama katika nchi nne Ulaya.

No comments:

Post a Comment