Wednesday, May 25, 2011

Dhifa kwa Malkia wa Uingereza

Cheers!
Wageni waalikwa

Rais Barack Obama wa Marekani akiwa na Malkia Elizabeth wa Uingereza wakati wa dhifa iliyoandaliwa katika makazi ya malkia.

Mke wa Rais Obama, Michelle akiwa na Mume wa Malkia Elizabeth wa Uingereza, Prince Philip.

Wimbo wa taifa.

Rais Obama, Malkia, Michelle, Prince Philip wanaingia ukumbini

No comments:

Post a Comment