Wednesday, May 25, 2011

Kwaheri Oprah, Mungu akubariki

Oprah analia wakati wasanii na watu wengine maarufu wanamuaga
Mpenzi wa Oprah, Stedman Graham akimshukuru mtangazaji huyo kwa kubadili maisha yake.

La aziz wa Oprah, Stedman Graham

Oprah akiwa na mchezaji nyota wa zamani wa Mpira wa kikapu, Michael Jordan

Oprah na Will Smith na mkewe, Jada

Oprah na Steve wonder na Jamie Foxx

Oprah na Beyonce, Madona, Dakota, na Halle Berry.

No comments:

Post a Comment