Monday, May 2, 2011

Osama alikataa kujisalimisha

Osama Bin Laden
Moto baada ya mapigano

Helikopta ya majeshi ya Marekani iliyoanguka wakati wa mapigano na walinzi wa Osama.

Kitanda kinachoaminika kilikuwa kinatumika aidha na Osama au wasaidizi wake Sehemu ya makazi wa Osama


KUNA taarifa kwamba Osama Bin Laden alipewa fursa ya kujisalimisha, akakataa, askari wa Marekani wakampiga risasi kichwani.


Vyombo vya habari vya kimataifa vimesema, mwili wa Osama umezikwa baharini.

No comments:

Post a Comment