Wednesday, May 25, 2011

Rais Obama,Waziri Mkuu Uingereza wachapwa

Rais Barack Obama wa Marekani akiwa makini kurudisha mashambulizi ya wanafunzi wa shule iitwayo Globe Academy walipopambana kwenye mchezo wa tennis nchini Uingereza.
Rais Obama na Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron waliunganisha nguvu zao kupambana na wanafunzi hao lakini wakubwa hao wakapata kichapo.

Mchezo ulikuwa mkali, hapa anaonekana Cameron akiwa makini kuzuia mchomo wa watoto


Mambo ya Rais Obama kwenye tennis


Tennis na mkono mfukoni!

Yes we Can.

Kuna wakati Rais Obama aliwahi kuonekana anacheza mpira wa kikapu, kumbe na kwenye mpira wa meza yumo!


Soma hapo chini


The most powerful man on Earth and the host of next year’s Olympic Games brought their collective sporting might to bear on a school table tennis table yesterday.And lost.


On the first afternoon of his state visit to Britain, President Barack Obama left his Buckingham Palace quarters and set off for Downing Street and important talks with David Cameron.


Before long, though, the two leaders jumped into the President’s comically huge stretch limo, ‘The Beast’, and travelled to the Globe Academy in Southwark, South London for the mandatory photo-opportunity.


There, they took that old diplomatic conceit, the ‘special relationship’, to a new level as they challenged a group of pupils to a game of ping-pong.

No comments:

Post a Comment