Monday, March 21, 2011

Tupigie upate wine za Ukweli

Hi, bila shaka upo OK.
Kama unahitaji wine zilizotengenezwa kwa zabibu za ukweli za Dodoma piga simu namba 0713 761 006.
Tuna wine za aina mbalimbali zikiwemo Dompo, Altar, na Image Dry kwa bei ya Sh 8,500 tu kwa chupa, hata katika maduka ya jumla ya wine hapa Dar es Salaam huwezi kupata kwa bei hiyo!
Si hivyo tu, ukihitaji wine zilizotengenezwa na kiwanda cha Hombolo, Dodoma utapata kwetu, mfano Ambassador, Presidential, Sharye, Mon Tressor, Chateu, Sharazad (Alcohol free), Mithali, Ruby n.k.
Wine za Hombolo bei zake zinatofautiana.
Ukipiga hiyo namba utapata wine kwa ajili ya mahitaji yako nyumbani, harusi, send off, kitchen party, graduation, Kipaimara, komunio, sherehe mbalimbali n.k.
Wakati wowote ukihitaji wine tupigie tukuhudumie.

No comments:

Post a Comment