Friday, March 18, 2011

Man United V Chelsea hapatoshi

SHIRIKISHO la soka barani Ulaya, UEFA, limekata mzizi wa fitina kwa kutangaza nani atamvaa nani katika hatua ya robo fainali ya Ligi la Mabingwa barani humo.
Draw imekwisha muda mfupi uliopita, Man United watapambana na Chelsea, Tottenham wao watawavaa Real Madrid.
Barcelona wataumana na Shakhtar, Inter watapepetana na Schalke.

No comments:

Post a Comment