Wednesday, March 16, 2011

Mwanaume mrefu kuliko wote duniani!

Mwanaume anayetajwa kuwa ni mrefu kuliko wote duniani (urefu wa kwenda juu) Sultan Kosen, alipotembelea moja ya shule nchini Cuba, Jumatatu wiki hii.
Sultan akisaidiwa kuingia kwenye gari. Mwanaume huyo ni raia wa Uturuki

No comments:

Post a Comment