KUNA mdau kanitumia hii, isome then utoe mtazamo wako.
KWA UCHUNGUZI WANGU TUNAPOONGELEA WASICHANA WAZURI; KUNA UZURI WA AINA MBILI:-
1. UZURI WA MUONEKANO (KWA MFANO UTASIKIA WATU WAKISEMA
"JAMANI YULE DADA AMEUMBIKA!! YAANI KWA KWELI MUNGU ALIKUWA AMETULIA WAKATI ANAMUUMBA YULE DADA AU YULE DADA ANA SURA NZURI!!
KWA KWELI ASIYEJUA KIZURI BASI SI MZURI YEYE N.K. N.K.")
2. UZURI WA TABIA. HUU NI MBALI NA MUONEKANO WA SURA NA UMBO.
(MFANO UTASIKIA " JAMANI YULE DADA ANA TABIA NZURI, ANAJIHESHIMU, YAANI MANENO NA MAVAZI YAKE KWA KWELI...")
LAKINI MIMI NINGEPENDA KWA LEO NIONGELEE KIDOGO TU AINA YA 1. YA UZURI.
KWA UPANDE WANGU NAWAGAWA WADADA WOTE KATIKA MAKUNDI/MADARAJA MATATU:-
(a) WAZURI WA KAWAIDA
(b) WAZURI
(c) WAZURI SANA
PIA KATIKA MAKUNDI/MADARAJA HAYA NAPENDA KWA LEO NIGUSIE TU AINA (c).
WADADA WA DARAJA HILI NI WAZURI SANA KWA SURA, UMBO NA KWAMBA KILA MWANAMUME ASIYE NA HOFU YA MUNGU ANGETAMANI SANA KUWA NA WADADA WA AINA HII.
MARA NYINGI KILA WALIPOPITA WANAUME HAWAKUSITA KUWAANGALIA NA HATA WENGI WAO WAMEJIKUTA WAKIWATOKEA NA KUWATONGOZA WADADA HAWA.
NA WADADA HAWA WAMEKUWA NI WAZOEFU SANA NA WANAUME NA UKIKUTANA NA WADADA AMBAO HAWANA HOFU YA MUNGU BASI UTASHANGAA KUONA KWAMBA MDADA MDOGO TU BUT AMESHAKUTANA KIMWILI NA WANAUME KIBAO.
AIDHA KWA KUACHWA NA WAPENZI WAO AU WENYEWE KUWAACHA WAPENZI WAO WALIOWAPENDA KWA DHATI.
Kwa nini? HAWA WAMEKUWA WAKIRINGA SABABU YA KWAMBA WAO NI WAZUZI NA KWAMBA HATA AKIACHWA AU KUACHA ATAKUTANA NA MWANAMUME MWINGINE kwa sababu tu eti yeye ni mzuri na kwamba wanaume wengi huwa wanamshobokea.
WADADA HAWA KASORO YAO KUBWA NI HII "HUWA WANAFANYA MAAMUZI YAO MENGI AU YOTE (HASA YA MAHUSIANO) KWA KUANGALIA UZURI WAKE.(MAKING DECISION IN BEAUTIFUL PERSPECTIVES).
HII NDIO KASORO YAO KUBWA NA NYINGINE NI KWAMBA AKIWA NI BINTI ASIYE NA HOFU YA MUNGU BASI ANAKUWA SIO MWAMINIFU HATA KIDOGO.
( HUWA WANAKUWA NA LIST YA WAPENZI.) NA KWA SABABU HII MWISHO WA SIKU WANAJIKUTA WAKIACHWA EITHER WAKIWA NA MIMBA AU WATOTO AMBAO HATA WENYEWE HAWANA UHAKIKA YA KWAMBA BABA MTOTO NI NANI NA KUACHWA BILA KUOLEWA NA KUBAKIA MADUNG'A-EMBE.
ANGALIZO KWA WANAUME WANAOPENDA WADADA WA NAMNA HII HAKIKISHENI MNAMSHIRIKISHA MUNGU KUMPATA MWENZA MWENYE HOFU YA MUNGU VINGINEVYO MAJUTO SI KITU CHA KUULIZA.
REMEMBER: THE DECISIONS YOU MAKE TODAY HAVE DIRECT IMPACT ON YOUR FUTURE LIVES BOTH FLESH AND SPIRITUAL LIVES.
TAKE GOOD CARE OF YOURSELF AND THINK CAREFUL BEFORE YOU ACT UPON YOUR DECISIONS.
ni kweli hili nimelishuhudia kupitia mimi mwenyewe japo kuwa mda mwingine mwanaume unakuwa nae anakuwa hakuamin kwasababu kila anapopita na wewenjian wanaume wenzie wanakuangalia sana, hivyo anadhani ukiwa pekeyako unatongozwa sana na kuwakubali wengi, si kila mwenye muonekano mzuri bas ana tabia chafu
ReplyDelete