Monday, October 25, 2010

Teh teh teh teh!

KUNA jamaa wa kabila fulani alinunua mbuzi! Akamwambia mpishi; Nyama nusu ipikie pilau na nyingine itie kwenye friza!
Kichwa fanya supu na miguu fanya mchuzi chukuchuku! Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pikia ndizi na mifupa tutawauzia wenye mbwa!
Kinyesi kihifadhi kwa mbolea ya bustani

Mpishi akamuuliza : Hutaki na sauti ya mbuzi tufanye ring tone kwenye simu yako?

1 comment: