Tuesday, October 26, 2010

Mke wa Mugabe aisaliti ndoa yao

Rais Robert Mugabe
Mke wa Rais Mugabe, Grace

Gavana wa Benki ya Zimbabwe, Gideon Gono

KUNA taarifa zinazodai kwamba, mke wa Rais Robert Mugabe, Grace ana uhusiano wa kimapenzi na Gavana wa Benki ya Zimbabwe, Gideon Gono (50).
Gono ni rafiki wa karibu sana wa Mugabe, kiongozi huyo anamuamini sana, na pia ni rafiki wa familia ya kiongozi huyo.
Inadaiwa kuwa, Gono na Grace wamekuwa wakivunja amri ya sita kwa miaka mitano sasa, na wamekuwa wakikutana kwenye hoteli za kifahari katika nchi jirani na Zimbabwe au kwenye ranchi iliyopo jirani na Harare.
Uhusiano huo uliendelea kufanywa siri ingawa kuna taarifa kwamba, kuna watu waliokuwa wakifahamu lakini waliogopa kusema, Julai mwaka huu, dada wa Mugabe, Sabina, alikuwa mgonjwa, saa kadhaa kabla ya kuaga dunia, aliweka mambo hadharani.
Gono na Grace walifahamiana miaka 15 iliyopita, wanashirikiana kibiashara, na inadaiwa kuwa wamekuwa wakitumia uhusiano huo kumsaliti Mugabe.
Si mara ya kwanza kwa Grace kukumbwa na kashfa ya ngono, amewahi kudai wa kuvunja amri ya sita na Peter Pemira, mwanaume huyo alikufa katika ajali ya gari.
Inadaiwa kuwa Grace pia amewahi pia kuwa na uhusiano wa kimapenzi na James Makamba, baada ya siri kufichuka mwanaume huyo aliikimbia Zimbabwe.
Grace na Mugabe wana watoto watatu, wawili kati ya hao waliwapata wakati mwanasiasa huyo akiwa bado na mke wa awali, Sally.
Sally alifariki dunia mwaka 1992 kutokana na ugonjwa wa figo.
Rais Mugabe ana umri wa miaka 86, Grace ana umri wa miaka 45, kabla ya kufunga ndoa mwaka 1996, mwana mama huyo alikuwa Katibu Muhtasi wa Mugabe.
Soma zaidi hapo chini
The wife of Robert Mugabe has been having a secret affair with one of her husband’s best friends, it was claimed yesterday.

Grace Mugabe – who is 41 years younger than Zimbabwe’s 86-year-old president – has spent the past five years cuckolding him with Gideon Gono, head of the country’s central bank.

The couple would meet as often as three times a month either at her dairy farm or in expensive hotels in neighbouring South Africa.

Robert Mugabe's wife, Grace, has been having an affair with the head of Zimbabwe's central bank, Gideon Gono for the past five years

Mugabe finally found out about the affair in July when his sister Sabina revealed the scandal on her deathbed, it was reported.

Since then his most-trusted bodyguard Cain Chademana – who is said to have told the furious president that he knew of the affair but thought it best to keep quiet – has lost his life amid suspicions that he was poisoned.

Gono, 50, is now said to fear for his safety. ‘Once he (Mugabe) hears something like that, I think someone will go to meet God,’ said one Zimbabwean intelligence official.

It is not the first time Mrs Mugabe, who is widely reviled inside Zimbabwe for her lavish tastes and expensive shopping sprees, has conducted affairs behind her husband’s back.

Secret trysts: Gono , 50, is said to fear for his safety after his affair with Robert Mugabe's wife Grace was exposed

One former lover, Peter Pamire, died in a mysterious car accident. Another, James Makamba, fled the country.Gono has known Mrs Mugabe, who married the president in 1996, for at least 15 years and they are partners in a number of business enterprises.

He is a pillar of the Zanu PF party that has held on to power in Zimbabwe since its 1980 independence from Britain.
As one of Mugabe’s most trusted friends, he has served since 2003 as head of the Reserve Bank of Zimbabwe – a period that saw the country’s currency suffer hyperinflation of more than a billion per cent a year.

While many of Zimbabwe’s desperately poor people struggle to find enough food to eat, Gono lives in a 47-bedroom mansion with swimming pool, gym and its own mini theatre.

Yesterday a source close to the banker confirmed that he and the first lady were lovers and claimed they had planned a life together after Mugabe’s death.

The senior official in Gono’s office told South Africa’s Sunday Times newspaper: ‘Mugabe trusted Gono.
He even thought our boss was taking care of the first lady, keeping a protective eye on her so that she could not again be adulterous.’Mugabe’s relationship with Grace, his former secretary, is itself founded on infidelity.
Two of their three children were born when Mugabe was still married to his popular first wife, Sally, who was battling a kidney disease from which she died in 1992.

5 comments:

  1. Kaka mke kijana huyo wataraji nini?

    ReplyDelete
  2. WACHA TU WAMUIBIE AMEZIDI HUYO BABU KUNG'ANG'ANIA KILA KITU

    ReplyDelete
  3. Mzee mzima hovyoooooooooo....kwenda kuoa kijana wa half miaka yake alidhani nini mwache achakachuliwe. kufa hafi chamoto akiona.

    ReplyDelete
  4. Wanaume nao wamezidi kuoa mabinti zao! Sasa huyu Mugabe hakuona mtu wa age yake hadi aoe huyu bintie? Acha wamuibie, kwanini alioa mtu ambaye sawa na mtoto wake? maana miaka 86 kwa 45 ni tofauti kubwa sana.

    ReplyDelete
  5. I've been surfing online more than 4 hours today, yet I never found any interesting article like yours. It is pretty worth enough for me. In my view, if all webmasters and bloggers made good content as you did, the net will be much more useful than ever before.
    Also see my web site - weight loss motivation

    ReplyDelete