


BILA shaka hakuna aliyetarajia matokeo ya mpambano wa jana kati ya Arsenal na Man City lakini kilichotokea ndiyo soka.
Si kazi rahisi kuifunga Man City mabao 3-0 kwenye uwanja wao wa nyumbani lakini ukicheza na timu kama ARSENAL, inawezekana!
Msiwalaumu Man City kwa kucheza walivyocheza jana, hawakuwa na namna, ilibidi wacheze hivyo, wanastahili pole.
Kwa tathimini rahisi, Man City walizidiwa, waliteswa, waliumia kwao, na kwa bahati mbaya, wapendwa wao wameshuhudia mateso hayo.
Poleni Man City, hongera Arsenal!
No comments:
Post a Comment