Wednesday, November 25, 2009

Aliyemnyonga mkewe usingizini aachiwa huru

MWANAUME aliyemnyonga mkewe wakati wamelala ameachiwa huru.
Brian alikuwa anaota kuwa anapambana na mwizi aliyewavamia kwenye gari, kumbe alikuwa anamnyonga mkewe, Christine.

soma hapo chini

A man who strangled his wife during a nightmare has walked free from court after the prosecution withdrew all charges against him.

Brian Thomas, 59, dreamt that intruders had broken into the couple’s camper van, and then killed his wife Christine while in a state known as automatism.

The judge told him that he had been a “decent man and a devoted husband” and bore no responsibility for his actions.

The Crown Prosecution Service described the case as “almost unique in the UK” and said there had been fewer than 50 recorded instances worldwide.
It had argued during the case that Mr Thomas should be detained at a
mental hospital but withdrew after three psychiatrists said that it would “serve no useful purpose”.

Mr Thomas, a retired steel worker from Neath, South Wales, was on holiday with his wife, 57, when he woke up beside her lifeless body.
The jury at Swansea Crown Court was played a recording of his 999 call and heard
that he had been “suicidal” since her death.

Both defence and prosecution had accepted at the start of the trial that Mr Thomas was not in control of his actions at the time of the killing.

The jury had been asked to decide not if he had killed his wife but whether he was medically insane at the time that he had done so.

Yesterday they were directed to return a not-guilty verdict, allowing Mr Thomas to leave court an innocent man.

Iwan Jenkins, chief Crown prosecutor for CPS Dyfed Powys, said: “This has been a unique case with a unique set of circumstances.

“Following expert evidence from a psychiatrist it was suggested that no useful purpose would be served by Mr Thomas being detained and treated in a psychiatric hospital, which would be the consequence of a special
verdict in this case.

“It is now clear that the psychiatrists feel the risk of reoccurrence is very, very small. It is only because of highly sophisticated tests carried out by sleep experts that Mr Thomas’s condition could be
confirmed.”

Judge Mr Justice Nigel Davis told Thomas that although he would feel guilty about killing his wife: “In the eyes of the law you bear no responsibility for what happened.”

Mr Thomas’s brother Raymond said: “I wasn’t really surprised that it went to trial given the circumstances of what happened, but he’s a gentle man. Christine and Brian loved each other. Brian is very emotional right now but thankful to be out.”

Mrs Thomas was strangled by her husband in July 2008 while they were on holiday in Aberporth, West Wales. While parked in their camper van Mr Thomas dreamt that one of a group of “boy racers” who had disturbed them earlier had broken into the van and he fought with the intruder.
When he came round he realised that he had killed his wife of 40 years.

The court was told that Mr Thomas had suffered from a variety of sleep disorders for most of his life and had a history of sleepwalking.

He had stopped taking medication for depression and Parkinson’s disease because it made him impotent, an omission that also affected his mental state.

The expert witnesses were briefed not to go into too much detail about the condition that affected Mr Thomas for fear of “copycat” killings.

Amnyonga mkewe usingizini

MWANAUME nchini Uingereza, Brian Thomas (59) anadaiwa kumnyonga mkewe, Christine (57) wakati wakiwa wamelala.
Brian anadaiwa kumyonga mkewe wakati anaota akidhani alikuwa anapambana na mwizi aliyewavamia kwenye gari lao.
Mahakama nchini humo imeelezwa kwamba, Brian na Christine wameishi kwenye ndoa kwa miaka 40.
Brian alimuua mkewe usiku wa manane kwenye gari lao wakati wakiwa katika safari ya mapumziko.

Mahakama iliambiwa kuwa Brian aliota ndoto kuwa mwizi amevunja na kuingia ndani ya gari lao, akaota
anapambana na mwizi huyo na matokeo yake kumbe alikuwa akimkaba kipenzi chake cha tangu utotoni.
Mahakama ya mji wa Swansea iliambiwa kuwa Brian alikuwa akisumbuliwa na matatizo sugu ya usingizi na alikuwa hajitambui anamkaba mkewe.

"Hii ni kesi ya aina yake, sio ya kawaida", alisema mwendesha mashtaka Paul Thomas.

"Wataalamu wa usingizi wamemfanyia uchunguzi Brian na wametoa ripoti kuwa hakufanya kitendo hicho kwa kukusudia".

"Hawezi kutiwa hatiani kwa kitendo chake", alisema mwendesha mashitaka huyo.

Mahakama iliambiwa kuwa Brian na mkewe walionekana siku ya tukio hilo wakila nyama na chipsi pamoja mbele ya gari lao.

Siku hiyo walienda kulala mapema lakini usiku wa manane, Brian alianza kuota ndoto amevamiwa na mwizi.
Polisi walimkuta Christine akiwa amekufa baada ya kukabwa sana koo.
Wanandoa hao ambao wana watoto wawili wa kike na walikuwa wapo kwenye hatua za mwisho za kuanza likizo kwenye meli kubwa ya kifahari kuzunguka bahari ya Mediterranean kusherehekea miaka 40 ndoa yao.

Tuesday, November 24, 2009

Beckham ana asthma

MMOJA wa wanasoka maarufu zaidi duniani hivi sasa, David Beckham, anasumbuliwa na Asthma tangu akiwa mtoto.
Tatizo hilo alilifanya siri, lakini sasa limewekwa wazi.
Soma hapo chini
The football world's most high-profile star suffers with asthma, and has done since he was a small boy.

The revelation came after Beckham was seen using an inhaler at half-time during LA Galaxy's major League soccer cup Final on Sunday which his team lost 5-4 on penalties.

His exertions put such a strain on the 34-year-old football superstar that he was left short of breath.
Amazingly, despite having lived with the condition since childhood, it is the first time the former Manchester United and England international, had ever been pictured using his inhaler.

Beckham finished the game coughing violently and LA Galaxy said the inhaler was to help Beckham battle allergies.

But the player's agent Simon Oliveira confirmed the superstar player has asthma, confirming: 'David has suffered with this since he was a young boy.

Hapo vipi?


Usanii kwa 'wapendanao'

KUNA mdau kanitumia ujumbe huo, usome
Hili suala la artificial love limekuwa common sana, unakuta mtu ana uhusiano na mwenzie(wa kimapenzi) zaidi hata zaidi ya ya miaka miwili, anakuwa na madhumuni fulani lakini inakuwa siri yake.
Baada ya yale anayotaka kutimia anageuka kama sumu ya mamba...
Leo naomba jamani tuache kuwa na mapenzi feki...kama humpendi mwenzio kwa nini ukubali mpaka mnaenda kuoana then mnaachana baada ya miezi..3...kwa nini jamani.....

kuna mtu mwingine kila uhusiano aliokuwa nao yeye kazi yake ni kuumiza moyo wa watu...anamwacha mtu anahamia kwa mwingine....huko nako anamuumiza mwenzie ....sasa anabaki na kazi ya kuumiza roho za watu 2....

Mimi nafikiri ni vyema tukajua hapo tatizo ni ni??
Unakuta watu wanakaa kwenye uhusiano zaidi ya miaka 4, wakioana tu mmoja wao anageuka nyuki...ndani ya miezi
mitatu ndoa inavunjika,sasa bado najiuliza hapa tatizo nini?

Kama wewe una uhusiano wowote na mwenzio anza leo hii kujiangalia moyoni, je unampenda kweli ulie nae???ama unampenda kwa matarajio fulani!!

Anza leo hii hii itakusaidia kuwa na amani maisha yako yaliobaki...kweli yawezekana ulikuwa unampenda mwenzio lakini baada ya muda moyo wako umeacha kumdondokea hivyo upo kama haupo...
Huenda upo na huyo kwa sababu ya matarajio ya mali, labda ana mali za kutosha kuanzia familia unaona hii siwezi kuacha.....acha! bora uache
sasa kuliko kujenga mazingira ya majuto.

Chungulia moyo wako kama haupo hapo "CHAPA LAPA", angali unaweza lia maisha yako yaliobaki kwa hizo hizo mali unazozisubiria..

Hakuna linaloshindakana kwa MUNGU mwombe MUNGU akupe yule alie wako....MUME/MKE MWEMA HUTOKA KWA BWANA.

Ukilijua hilo nakuhakikishia ukiangalia na wale wenye magorofa yao pale Masaki, Osterbay, Mikocheni ambao mume anakaa juu, mke anakaa ghorofa ya chini...

Kwa nini hili...kwa nini unataka kuishi kwa pressure..shukuru yule utakayekuwanae hata kama hana kitu anza nae Mungu atawaletea....

Kuna siri kubwa sana kwa wale wenye majumba yao unaowaona matajiri wa nchini, kuna makatibu wa wizara 3 mmoja mwanamke wanalala vyumba tofauti na wenzao!

Nawatakia Maisha Mema na Chaguo jema

Tuesday, November 17, 2009

Berlusconi na mlinzi wa Gadaffi

WAZIRI Mkuu wa Italia, Silvio Berlusconi, akifurahi kumuona mmoja wa walinzi wa kike wa Rais wa Libya, Gaddafi, jijini Rome, Italia.

Friday, November 13, 2009

'Sijambadilisha nepi mwanangu'

MSHAMBULIAJI nyota wa Man United na timu ya taifa ya soka ya England, Whyne Rooney, anasema hajambadilisha nepi mwanae, Kai, kwa sababu kila akitaka kufanya hivyo mkewe, Coleen anakuwa sharp kuifanya kazi hiyo.

Novemba pili mwaka huu, Coleen alifungua mtoto wa kiume.

Rooney imebidi akiache kichanga, yupo mashariki ya kati na timu ya taifa ya England kwa ajili ya mpambano wa kirafiki na Brazil, Jumamosi.

Soma zaidi hapo chini

New dad Wayne Rooney last night admitted he is not exactly getting his hands dirty as he revealed: “I still haven’t changed a nappy.”

The England ace and wife Coleen celebrated the arrival of Kai Wayne Rooney on November 2, with the Manchester United superstar playing for his club within 48 hours of the birth.

Rooney left his wife and son behind at home when he flew to the Middle East for this weekend’s England friendly with Brazil in Doha.

And last night the 24-year-old first-time dad conceded his guilty secret, blushing slightly as he did so.
Rooney said: “I feel good. I’m playing for one of the biggest teams in the world, playing against Brazil for my country. And becoming a father. Things couldn’t feel much better.

“It’s a very different feeling now. I’m really proud and happy. Then, with my football as well, it’s going well. So I’m happy at the minute.

“But I haven’t changed a nappy yet. I am working on it, though.

“To be fair, I wanted to do it. But every time she’s been there and done it.”

Monday, November 9, 2009

Mtanzania atolewa BBA 2009

Elizabeth Gupta(katikati) akiwa na wenzake ndani ya jumba la Big Brother Africa 2009 nchini Afrika kusini.
Elizabeth

MWAKILISHI wa Tanzania katika shindano la Big Brother Africa 2009, Elizabeth Gupta, ametolewa jana usiku.
Kutolewa kwa Elizabeth kumezua hisia tofauti, baadhi wanadai kuwa hakustahili kutoka, wengine wanahisi kuwa ni kisasi cha mmoj a washiriki ndani ya jumba hilo, na baadhi wanadhani kuwa huenda hakutakuwa na msisimko tena ndani ya BBA 2009.
Soma zaidi hapo chini.

Elizabeth wept after IK announced her as the next housemate to leave the Big Brother house.

She gave a long, warm embrace to Kevin who was sitting next to her when the announcement was made.

After saying her good-bye’s to the other housemates she gave Kevin another long squeeze near the Eviction door.

On the stage with IK, Elizabeth said the thing she’d miss the most about the House is Kevin who she described as “one of the most amazing people” she’s ever know.

She spoke fondly of Kevin screaming “I love you”.

Mwanamke 'mzuri'

KUNA mdau kanitumia huu ujumbe, alichokisema ni kweli?
KUNA wanaume wengi mitaani ambao leo hii licha ya kuwa na wake 'wazuri' wanalia kila kukicha.

Maisha yao ni ya kuumizwa kila siku, hawana furaha kabisa kutokana na tabia mbaya za wake zao.

Wanaume hao walidhani kuoa mwanamke mzuri ni furaha kumbe ni maumivu kwao. Waswahili walisema,si kila king’aacho ni dhahabu.

Kuna wanawake huko mtaani ukiwaona walivyoumbika utadhani malaika lakini tabia zao zinatia kinyaa.

Ni wanawake wasiotulia na mwanaume mmoja.

Na hata wale wanaobahatika kuolewa, hawatulii bado wanakuwa na tamaa za kijinga na waume zao wanapobaini kutotulia kwao huleta kiburi.

Kama huamini katika hili chunguza utabaini kwamba, baadhi ya wanawake walioolewa ambao ni wazuri na wanajijua wanawadatisha wanaume, hawaoni hatari kuachika.

Hii ni kwa sababu wanajua hata wakiachwa leo kesho atatokea mwanaume mwingine na kumtaka.

Si wana mvuto? Ndio maana baadhi yao wanakuwa viburi kwa waume zao.

Unapompenda mwanamke mzuri na ukatamani awe mkeo kwanza chunguza historia yake.

Je ni msafi kwa maana halisi ya usafi kitabia?
Familia yake ikoje? Kwa sababu isije ikawa mwanamke huyo
mzuri ni sawa na mchicha wenye mzuri lakini kumbe umeota kwenye kinyesi.

Wapo baadhi ya wanawake ukikutana nao barabarani utachanganyikiwa kwa uzuri wao lakini ukifuatilia unaweza kukuta familia anayotokea haina maadili mazuri.

Yawezekana ni walevi, wazinzi na wenye tabia zisizokubalika katika jamii.

Katika kutaka kuchukua hatua za kuanzisha uhusiano wa kutaka kuoa kabisa ni vyema ukawashirikisha watu wanaomfahamu vizuri huyo mwanamke.
Hao watakupa mwanga unaoweza kukusaidia aidha kuendeleza uhusiano wako ama kuusitisha.
Kamwe usidanganyike na uzuri wake kwa sababu uzuri si tija.

Chunguza kama naye anakupenda Hili liko wazi kwamba, unaweza kutokea kumpenda demu mkali sana na
ukamshawishi awe na wewe lakini kumbe yeye hana penzi la dhati kwako.

Ukilazimisha kwa pesa ama vishawishi vingine kwa mtu kama huyu, utakuwa unaingia kwenye penzi la kifo.

Fanya uchunguzi ili kubaini kama ana penzi la dhati na ukigundua hakupendi wala usilazimishe, muache labda kama unataka kustarehe naye tu kisha kumuacha lakini si wa kuoa.

Katika hili la kubaini kama mwanamke huyo analo penzi la dhati ni lazima mwanaume mwenyewe akajifahamu na kufahamu vigezo vya mpenzi anayemhitaji katika maisha yake.
Ifahamike kuwa kila mwanaume ana wake wa maisha. Hivyo asiyekufaa wewe anawafaa wengine, kinachotakiwa ni kujitambua kwanza ili umtambue umtakaye.

Wanaume wengi hawafahamu wanahitaji wapenzi wa aina gani, hivyo wanajikuta kama watu wanaoingia sokoni bila kujua wanataka kununua nini?
Ndiyo maana wengi wameangukia kwa matapeli wa mapenzi na mwishowe kuumizwa moyo yao bure.

Lingine analotakiwa kulifanya mwanaume ni kukaa chini kisha kuorodhesha vigezo stahili vya mwanamke unayemtaka.

Baada ya hapo orodhesha tena kasoro zake unazoweza kuzivumilia na zile ambazo huwezi kuzivumilia kabisa.
Hii inatokana na ukweli kwamba mwanadamu hajakamilika, kila mtu ana upungufu wake.

Katika kumalizia mada hii niseme tu kwamba, kwa wanaume wanataka kuoa si vibaya wakafahamu wanahitaji wanawake wa aina gani.

Je chagua lako ni mwanamke mzuri hata asiye na tabia nzuri? Je ni mwanamke mwenye tabia nzuri hata asiwe mzuri au mwaname mzuri na tabia nzuri pia?

Naamini kila mwanaume anataka mwanamke mzuri na mwenye tabia nzuri hivyo basi ili kujihakikishia maisha yenye furaha, unapomuona mwanamke mzuri, jiridhishe na upande mwingine wa tabia kisha utangaze sera za ndoa,
la sivyo utaishia kusifiwa una mke mzuri lakini ndani hapakaliki
.
Pamoja na yote aliyoyasema mdau, nina swali, mwanamke MZURI ni yupi? Unatumia vigezo vipi kusema mwanamke huyu ni mzuri au la?

Apoteza kumbukumbu baada ya kujamiiana

MWANAMKE nchini Marekani, Alice (59) hivi karibuni alipoteza
kumbukumbu kwa muda baada ya kumaliza kufanya tendo la ndoa na mumewe.

Hali iliyomtokea Alice ya kupoteza kumbukumbu ghafla kitaalamu inatambulika kama "Transient global amnesia” au kwa kifupi TGA.
Hali hiyo husababishwa na msukumo wa damu kwenye ubongo wakati mtu anapofika kileleni wakati wa kujamiiana.

TGA husababishwa na shughuli mbali mbali zenye stress lakini mara nyingi zaidi husababishwa na tendo la kujamiiana.

Baada ya kujamiina na mumewe, Alice alipoteza kumbukumbu yote ya maisha yake na alikuwa hana uwezo wa kuhifadhi kumbu kumbu ya matukio yaliyofuatia baada ya hapo.

Baada ya kumaliza kufanya mapenzi Alice na mumewe Scott walikaa kuangalia luninga.
"Niliona mambo hayako sawa niliamua kumuuliza leo siku gani?", Scott alisema alipokuwa akihojiwa na CNN.

Wakati aliposhindwa kujibu swali hilo rahisi, Scott alimuuliza mkewe jina la rais wa sasa wa Marekani, Alice alijibu "Bill Clinton".

Baada ya jibu hilo Scott alipiga simu hospitali kuita ambulance, Alice alipofikishwa hospitali haukupita muda mrefu watalaamu wa masuala ya ubongo waligundua kuwa Alice amepata ugonjwa wa TGA unaowapata watu wengi wenye umri zaidi ya miaka 50.