Wednesday, December 16, 2009

Kashfa za ngono zinavyomtesa Tiger Woods


Mke wa Tiger Woods, Elin








Tiger Woods,mkewe, Elin, wakiwa na mtoto wao, Sam.

Nyota huyo wa gofu yupo kwenye kipindi kigumu sana kiasi cha kuamua kupumzika kucheza mchezo huo ili kuweka sawa mambo ya familia yake.

Anadaiwa 'kujirusha' na wanawake kibao, amekiri.

Kampuni kadhaa ziilizokuwa zikimdhamini zimetangaza kusitisha udhamini wao, na nyingine zimepunguza kiwango cha udhamini wao.

1 comment:

  1. Kwa hivyo??? Hii inatusaidia nini sisi kama jamii ya Kitanzania??????


    Yaaaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Kwani wewe hujacheat??????????????????????????

    ReplyDelete