

Mke wa Tiger Woods, Elin









Tiger Woods,mkewe, Elin, wakiwa na mtoto wao, Sam.
Nyota huyo wa gofu yupo kwenye kipindi kigumu sana kiasi cha kuamua kupumzika kucheza mchezo huo ili kuweka sawa mambo ya familia yake.
Anadaiwa 'kujirusha' na wanawake kibao, amekiri.
Kampuni kadhaa ziilizokuwa zikimdhamini zimetangaza kusitisha udhamini wao, na nyingine zimepunguza kiwango cha udhamini wao.
Kwa hivyo??? Hii inatusaidia nini sisi kama jamii ya Kitanzania??????
ReplyDeleteYaaaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Kwani wewe hujacheat??????????????????????????