Friday, October 23, 2009

Kataa kataa kata, kataa kata kataa, kata kiuno kata












OKTOBA 21, Mke wa Rais wa Marekani, Michelle Obama aliwaita watoto acheze nao Ikulu.

First Lady wa USA si mchezo, watoto walitolewa kijasho, mama Obama anazungusha ringi kiunoni kama nini sijui, it was nice kwa kweli, natamani siku moja itokee na hapa kwetu.

4 comments:

  1. Inapendeza kwa kweli na ni mfano mzuri sana.

    ReplyDelete
  2. ni mwanamke wa kipekee sana, mama Salma upo??

    ReplyDelete
  3. Watamani itokee hapa kwetu?? Mhhh!

    Hicho ni kitambi au ni Ka-Obama Jr on the way? au macho yangu ya makemgeza jamani??

    ReplyDelete
  4. hicho ni kitambi cha fedha cha michelle

    ReplyDelete