Saturday, September 5, 2009

Vikuku ni urembo au?

KUNA mdau kanitumia hiyo picha anauliza hizo shanga za miguuni zinavaliwa kujiremba au zina maana nyingine?
Kwa mujibu wa maelezo yake, amewahi kusikia kwamba, shanga hizo a.k.a vikuku zina maana yake hivyo anaomba kufahamu kama ni kweli.
Anasema, kaelezwa kwamba, kikuku kikivaliwa mguu wa kulia ina maana yake, na kikivaliwa kushoto kinakuwa na maana nyingine, ni kweli?
Kama kila mguu una maana yake, vikivaliwa miguu yote inamaanisha nini?

10 comments:

  1. I'm mrs S. Minja
    nadhani kwa ulewa wangu vikuu ni urembo katika kupendezesha miguu kama vile mtu avaapo bangili kama kuna maana nyingine naomba na mimi nifahamishwe.

    ReplyDelete
  2. AM miss Angela
    ninavyofahamu mimi kwa kweli historia ya vikuku huko marekeni huvaliwa na malaya ili akitembea ajulikane ni malaya na yuko kwenye biashara hasa majira ya mchana, haijalishi mguu gani. sasa sisi tunapenda kuiga tu bila kufahamu vizuri na kwa tafsiri ya kibongo wanasema ukivaa cha kulia ww ni mwanamke unayeuza lakini hutoi tigo, ukivaa upande wa kushoto unatoa tigo na ukivaa kotekote unatoa huduma zote

    ReplyDelete
  3. Tausi Usi Ame Makane, Oslo, NorwaySeptember 9, 2009 at 10:20 AM

    Mimi nina tofauti na Miss Angela:

    Mbona vikuu vimekuwa vikivaliwa na makabila mengine ya Tanzania na ya Kiafrika na hata baadhi ya jamii za Asia, Papua New Guinea toka enzi za mababu? Wamarekani ndio walioiga.

    Hii tafsiri ya Miss Angela naona ni ya kileo kutokana na tamaduni inavyobadilika

    ReplyDelete
  4. Mie nimependa nyayo za huyu dada!na vidole vyake vya miguu vimeenda shule dada!watamanisha na uko sexy!hata kabla sijakuona juu

    ReplyDelete
  5. ok
    naitwa mama Tracy, naomba kuchangia kama ifuatavyo, vikuku ni tamaduni za kiafrica. ni urembo wa kuoendezesha kiungo kama kuvaa cheni shingoni, helen siioni, pete kidoleni, bangili mkononi, kipini puani shanga kiunoni na kikuku mguuni, mbona tukivaa shingoni hawasemi?? kwani mguu ni sehem ya siri hadi kusema ni vibaya, mimi nafikiri ni fikra za watu tena fikra potofu, mimi napenda sana na ninavaa, siku nikivaa gold heleni na cheni basi napiga kikuku cha gold siku nikivaa silver heleni na cheni napiga kikuku cha silver siku niamua kuvaa culture, basi hata kikuku kinakuwa culture yote hiyo ni kupendezesha mwili wangu kama mwanamke.
    tukiangalia ktk kabila la wamasai, hadi wanaume nao wanavaa tena ni wote, sasa je nao wale wote wanatumia tigo????? acheni fikra potofu watanzania, lile ni pambo msilitafsiri kiviile.
    but hayo ni maoni yangu mimi tu!

    ReplyDelete
  6. Mama Tracy hewala! Umenena. Wanaopotosha tafsiri ya kuvaa vikuku wamesahau tamaduni za Waafrika!!


    Tausi, Oslo Norway.

    ReplyDelete
  7. biashara mtu wangu,
    kulia straight, kushoto tigo pbosibility and miguu yote anything goes

    ReplyDelete
  8. kila jambo linalofantika chini ya jua lina makusudi yake. Ukimwona kavaa kikuku elewa she z in bussiness.

    ReplyDelete
  9. mimi kama mdau naona kuvaa kikuku mguu wa kushoto ni kutoa tigo na kulia ni kuwa kibiashara ya kujiuza lakini hutoi tigo

    ReplyDelete
  10. Je inahalalisha biashara husika, na kama ni biashara mbona hamlipi kodi?

    ReplyDelete