Monday, September 7, 2009

ATM za NBC kutofanya kazi kesho

MASHINE za ATM za Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) hazitafanya kazi Septemba 8 na tisa mwaka huu.
Benki hiyo imewataka wateja wachukue fedha za kujikimu katika muda huo.

No comments:

Post a Comment