Monday, June 1, 2009

Ronaldo akijinafasi Italia



NYOTA wa Barcelona, Messi 'alimfunika' mshambuliaji tegemeo wa Man United, Ronaldo kwenye mpambano wa fainali Ligi la Mabingwa Barani Ulaya.
Katika kile kinachoonekana kuwa ni kupunguza maumivu hayo, Ronaldo amekwenda kupumzika nchini Italia.
Picha hizo juu zinamuonyesha CR7 akijinafasi kwa kuogelea kwenye ufukwe wa Porto Cervo, Sardinia nchini humo.
Kuna tetesi kwamba mchezaji huyo anayekadiriwa kuwa na thamani ya Paundi milioni 70 anajiandaa kuihama Man U.

1 comment:

  1. Anakwenda Inter eeh?
    Huko ambako wenye vipaji wote wanakwenda kuviulia.

    ReplyDelete