MDAU kanitumia ujumbe akidai ni ushauri endapo mwizi atakukaba wakati unachukua hela kwenye mashine ya ATM. Mdau huyo anasema ukitekeleza ushauri huo mwizi atajuuta kukufahamu.
Soma hapo chini.
WHEN A THIEF FORCES YOU TO TAKE MONEY FROM THE ATM, DO NOT ARGUE OR RESIST, YOU MIGHT NOT KNOW WHAT HE OR SHE MIGHT DO TO YOU.
WHAT YOU SHOULD DO IS TO PUNCH YOUR PIN IN THE REVERSE, I.E. IF YOUR PIN IS 1254, YOU POUNCH 4521.
THE MOMENT YOU PUNCH IN THE REVERSE, THE MONEY WILL COME OUT BUT WILL BE STUCK INTO THE MACHINE HALF WAY OUT AND IT WILL ALERT POLICE WITHOUT THE NOTICE OF THE THIEF.
EVERY ATM HAS IT, IT IS SPECIALLY MADE TO SIGNIFY DANGER AND HELP.
NOT EVERYONE IS AWARE OF THIS. FORWARD THIS TO ALL YOUR FRIENDS AND THOSE YOU CARE FOR!
Hii si kweli hiyo Basili, huyo mdau kakutumia tu hizi bogus forwarded messages. Ukisoma snopes.com wameelezea ni kwa nini hii ni dhana ya kufikirika na soma bankofamerika.com wameeleza kuwa hakuna hiyo system ya reverse number, labda kama inaanya kazi nchi nyingine na watuambie ni nchi gani.
ReplyDeleteSasa kama namba yangu ni 7777 itabadilika nini niki-reverse? Aliyetengeneza hiyo system si atakuwa mjinga asitilie maanani uwezekano wa mteja kutumia namba mfanano? Maana mashine (angalao niliyojaribu siku moja) haikukataa namba zangu za kufanana tarakimu nne.