Tuesday, June 9, 2009

Choki kang'oka T- Respect?

KUNA taarifa zinazodai kuwa mwanamuziki nyota wa muziki wa dansi nchini Ali Choki, a.ka Mzee wa Farasi, a.k.a Mzee wa Kijiko kabwaga manyanga katika bendi ya T-Respect.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, Choki yupo kwenye mchakato wa kuifufua bendi yake ileeee
Kama kuna mwenye nyuuz zaidi weka mambo hadharani.

1 comment:

  1. huyu ali choki mimi nilishamdharau siku nyingi anahangaika kama mwanamke malaya angetulia twanga toka enzi zile angekuwa juu sana kwani hata mimi nilikuwa namkubali.

    mizizi

    ReplyDelete