Tuesday, June 9, 2009

wake wa 'wakubwa'

Mke wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Sarah Brown(wa kwanza kushoto), mke wa Rais wa Ufaransa, Carla Bruni(katikati) na mke wa Rais wa Marekani, Michelle Obama wakiwa katika shughuli ya kumbukumbu iliyoitwa D-day nchini Ufaransa Juni 6.
Hivi kunapokuwa na mkusanyiko wa aina hiyo ni lazima mikono iwekwe hivyo?
Au ni kwa sababu tu nature ya binadamu kwamba wasingeweza kuiweka tofauti na walivyoiweka?

1 comment:

  1. Wow! wametoka chicha ila mke wa obama amekasirika jamani kaharibu

    ReplyDelete