Friday, May 1, 2009

Wanawake Kenya wagoma kufanya mapenzi

Rais Mwai Kibaki na mkewe, Lucy


Mke wa Waziri Mkuu wa Kenya, Ida Odinga

MAELFU ya wanawake Kenya wapo kwenye mgomo wa kufanya tendo la ndoa na waume zao, na wasioolewa wamegoma kufanya ngono ili kushinikiza viongozi wa nchi hiyo kumaliza matatizo ya kisiasa nchini humo.
Mgomo huo umeanza Jumatano, utadumu kwa wiki moja.
Mke wa Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Raila Odinga, Ida amekaririwa akisema kuwa atashiriki mgomo huo ila haijafahamika kama mke wa Rais Mwai Kibaki, Lucy naye atagoma.

No comments:

Post a Comment