Friday, May 1, 2009

Aliyepata dhahabu Beijing anusurika kufa



MWANARIADHA aliyepata medali ya dhahabu kwa kushinda mbio za mita 200 kwenye michuano ya Olympic jijini Beijing mwaka jana, Usain Bolt, amenusurika kufa baada ya gari alilokuwa akiendesha kuacha njia na kupinduka.
Mwanariadha huyo raia wa Jamaica alikuwa akiendesha gari hilo aina Mercedec Benz alilopewa na wadhamini wake kampuni ya PUMA.

No comments:

Post a Comment