Helikopta iliyokuwa imembeba Mkuu wa Polisi Kenya, Meja Jenerali Hussein Ali(Kushoto mstari wa mbele picha ya chini) viongozi waandamizi wa Serikali ya Kenya na waandishi wa habari ilipoanguka jana.
Ilipoteza nguvu muda mfupi baada ya kuruka, kwa busara ya rubani, ikatua juu ya nyumba badala ya kurudi katika uwanja uliokuwa na watu wengi
BAADA ya kubaini kuwa isingetua salama, ilibidi rubani afanye uamuzi wa haraka, ama kutua katika uwanja uliokuwa na watu waliohudhuria mkutano wa hadhara au kuipeleka kwingine, akaamua kutua juu ya nyumba, Kapsabet.
No comments:
Post a Comment