Rihanna aki-perform na aliyekuwa mpenzi wake, Chriss Brown
MWANAMUZIKI, Rihanna amelipa kisasi kwa aliyekuwa mpenzi wake, Chriss Brown kwa kutunga wimbo wa kumponda.
Rihanna na Brown wameachana baada ya msichana huyo, 'kupata kichapo' kwa sababu ambazo hadi sasa hazijawekwa wazi.
Katika wimbo huo mpya unaotarajiwa kutoka karibuni, Rihanna amemponda Brown kwa kumueleza kuwa yeye (Rihanna) ni msichana mrembo lakini Brown hakujua namna ya kum-treat.
Soma sehemu ya mashairi ya wimbo huo
“I said I’m not coming back. You fooled me once but you can’t have that ego turning.
“Just too bad for you, that when you had me. Didn’t know what to do, she’s over you.
“’Cause you had a good girl, good girl, girl. That’s a keeper. You had a good girl, good girl but didn’t know how to treat her.
“So silly boy get out my face. Why do you like the way regrets taste?”
No comments:
Post a Comment